Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
- Thread starter
- #21
Kaka mods wamebadilisha uzi wangu?Nilidhan kaingia tumbo wazi mswalani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mods wamebadilisha uzi wangu?Nilidhan kaingia tumbo wazi mswalani
Sasa kosa liko wapi wakati masuala ya Mungu ni masuala ya Imani.Kusema mungu ni ke huoni kosa
Mungu amsaidieLeo nimejiridhisha kabisa juu ya msanii Harmonize kuwa mihadarati anayotumia na wanawake afikishe sober house mapema sana.
Hofu ya afya yake ya akili ilianza muda sana ila nikafunika kombe mwanaharamu apite ila bado akalifunua!
Tafadhali ficha ujinga hata nusu.
Unajitahidi kutetea ujinga ila ukweli hizi tabia tukifungia macho zitazaa wapuuzi wengiSasa kosa liko wapi wakati masuala ya Mungu ni masuala ya Imani.
Yeye anaamini Mungu ni Mwanamke na anahaki hiyo au ni lazima Imani yake ifanane na Yako ndio awe sahihi.
Kama Mungu sio Mwanamke unaweza wewe kumpinga lakini kwa kuwa niimani tunaheshimu mawazo yake na imani yake.
Mfano Wakristo wanaona Yesu ni Mungu na waislamu wanaona Yesu sio Mungu ni hakj ya kila upande kuamini inachokiamini na Wala sio kosa na mawazo ya kila mmoja yanaheshimiwa.
Huwezi amini sijakuelewaSio mbaya sioni ukosefu wake wa akili. Sanasana nna mashaka na akili yako
Swala la mawazo yako yamekwisha mda umeisha kristo anarudiUkitaka kukosana na mwafrika we toa mawazo yako kuhus Mungu... na hayo mawazo yaoneshe utofauti flan kutoka kwenye biblia & kuraaan
🤧ila binadamu akishibaKuna kaka yake mmoja alisema god mazafanta
Mtu mwenye akili timamu hawezi ongea hivyoMihadarati unaijua ww?Acha kuropoka mkuu
Mwache aoneShida tu anataka vita na maostaadhi katika watu ambao ukijichanganya watakushughulikia mguu wa shingo mguu wa roho basi maostaadhi nambari one😅😅😅
Mnajua kuna wakati mwingine tunatengeneza au tunawatengenezea watu mabalaa bila ya sisi kujijua, wakati huyo Harmonize anazungumza na Mwijaku kuhusu maoni yake, alimwambia ayasambaze? Je ni kweli hayo mazungumzo alikuwa akitaka kuwaeleza watu wote? au ilikuwa mahususi baina yake na Mwijaku? Huenda anapozungumza maneno hayo alikuwa si akili yake bali kilevi ndicho kilichomsaidia kusema hayo.Leo nimejiridhisha kabisa juu ya msanii Harmonize kuwa mihadarati anayotumia na wanawake afikishe sober house mapema sana.
Hofu ya afya yake ya akili ilianza muda sana ila nikafunika kombe mwanaharamu apite ila bado akalifunua!
Tafadhali ficha ujinga hata nusu.
Sawa mimi nanawa mikono damu yangu haina hatia nimekueleza vya kutosha ukashupaza shingoHarmonise Yuko sawa kabisa watu wengi leo tumewekewa Mentality (Colonial Mentality) Ya kijinga kuwa Mungu Ni mwanaume au Mungu Ni fulani..
Je umewahi kuchunguza huyo Mungu mwenyewe..
Mawazo yake ni Ya Kitheologia na wanazuoni wengi na wanatheolojia wamewahi kuhoji pia hivyo..
KUNA BAADHI YA VERSE KWENYE BIBLIA ZINAJARIBU KUONYESHA MUNGU KUWA NA UWEZO WA FEMINE ASPECTS..
ATAKAYEMUONA HARMONISE KAKOSEA NI MPUMBAVU NA MJINGA
What the early church thought about God’s gender of the Hebrew Bible&text=In the oracles of the,a mother comforting her children.
Ile ni insterlive sasa sijui huelewi nn?Mnajua kuna wakati mwingine tunatengeneza au tunawatengenezea watu mabalaa bila ya sisi kujijua, wakati huyo Harmonize anazungumza na Mwijaku kuhusu maoni yake, alimwambia ayasambaze? Je ni kweli hayo mazungumzo alikuwa akitaka kuwaeleza watu wote? au ilikuwa mahususi baina yake na Mwijaku? Huenda anapozungumza maneno hayo alikuwa si akili yake bali kilevi ndicho kilichomsaidia kusema hayo.
Kwa maoni yangu Harmonize amefanya kosa, lakini aliyesambaza upumbafu huu amefanya kosa kubwa zaidi ya Harmonize.
Leo nimejiridhisha kabisa juu ya msanii Harmonize kuwa mihadarati anayotumia na wanawake afikishe sober house mapema sana.
Hofu ya afya yake ya akili ilianza muda sana ila nikafunika kombe mwanaharamu apite ila bado akalifunua!
Tafadhali ficha ujinga hata nusu.