Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,836
Dogo anatumia mihadarati kwenye kuelezea mungu wetuMihadarati na dini imefanyaje? Vipi mbona hauleweki. Shusha nondo
😂 😂 😂Leo nimejiridhisha kabisa juu ya msanii Harmonize kuwa mihadarati anayotumia na wanawake afikishe sober house mapema sana.
Hofu ya afya yake ya akili ilianza muda sana ila nikafunika kombe mwanaharamu apite ila bado akalifunua!
Tafadhali ficha ujinga hata nusu.
Kusema mungu ni ke huoni kosaSioni kosa lake mtu huyu
IHata haeleweki anaongea nini, hoja hazina bond kabisa ka miguu ya bata.
Shida si mihadarat ila akili ndo hana unaezaligundua hilo kwa kuzingatia mpangiluo wa hoja zake, hana alijiualo ila kakariri kutoka katika kauli flan wa wapotoshaji anaowaona yeye kua ndo wana akili.
Sijui aliwaza nni?Binadam tuna upeo mdogo sana wa kuweza kuelewa Mungu yupoje kwaiyo ni vizuri tusijipe kazi ambayo hatuiwezi mwishowe tukaishia kukufuru.
Mawazo yake wapi kaka yetu anachizikaKila mtu asikilizwe mawazo yake lakini si kila mtu aaminiwe kwa mawazo yake...