DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Hebu eleza kosa La Harmonise ni lipi maana hujaeleza Kosa ila umelalamika tu..Sawa mimi nanawa mikono damu yangu haina hatia nimekueleza vya kutosha ukashupaza shingo
Oyaaa acha utani kristo anarudi mm bado Sina mke🤔Swala la mawazo yako yamekwisha mda umeisha kristo anarudi
Kila mtu anatumia insterlive?!,Ile ni insterlive sasa sijui huelewi nn?
Ulisema unayevukajiona weeeeee kumbe huna wewe ni chuma ulete jitahidi uchume ulete lidada kama la harmonizeOyaaa acha utani kristo anarudi mm bado Sina mke🤔
Upata pewa mabikra 72Oyaaa acha utani kristo anarudi mm bado Sina mke🤔
HII NI YA MWISHO SITOKUFUNDISHA TENA!!Hebu eleza kosa La Harmonise ni lipi maana hujaeleza Kosa ila umelalamika tu..
Tangu mwanzo umesema mihadarati ila sijaona mahali ukieleza harmonise kafanya kosa gani..
Twende kisomi sasa Na kwa facts harmo kafanya kosa gani? maana ukishindwa kueleza kosa means its Obvious hana kosa..
Biblia.. Isaya 42:14.
Isaya anasema Mungu anaugua Uchungu wa Kuzaa..
View attachment 2964240
Soma tena.
View attachment 2964241
Mungu anasema Watapata kunyonya na watabembelezwa
View attachment 2964242
Mungu anasema Yeye ndiye amekuzaa
View attachment 2964244View attachment 2964244View attachment 2964244View attachment 2964244View attachment 2964244
Mpaka Hapo.Hujasema Kosa La Harmonise kwemye Maongezi hayo..HII NI YA MWISHO SITOKUFUNDISHA TENA!!
Kosa la kijana harmonazi lipo hivi?
1.kukufuru kwa kusema anadhani mungu ni wakike kwa kunukuhu kutoka kwenye vitabu vya kidini"kwa mungu amepewa sifa ya kiume kama mungu baba" .angalia hapo labda kama macho yana vidonda .
2. Harmonazi anapotosha jamii kwa kusema kwa ni mwisilamu alafu anafanya hivyo vitendo vya kuvaa madera na herini,siingilii maisha ya mtu ila anachochea na kushawishi wengine.
KWA KUWA ANA NUKUU VITABU VYA DINI VINAVYOTUMIA KUMUELEZEA MUNGU KWA JINSIA YA KIUME "ANAKUFURU".
Dr MJ, tatizo letu ni wengi wetu tumekuwa mahakimu wa kuhukumu watu. Ikiwa Harmonize anajinasibisha kuwa yeye muumini wa dini ya kiislamu, na ametoa maoni yake kuhusu mfumo dume ambao umempelekea yeye kuhisi kuwa baadhi ya imani imemfanya Mungu kuwa (Mungu baba) ni sawa kumpa Mungu jinsia ya kiume, au mwanamke kutoruhusiwa kuolewa na wanaume 2, wakati waislamu wanaume wameruhusiwa kuoa wanawake hadi 4, sasa yeye anaona hiyo ni dhana iliyopandikizwa kwa watu katika kuujenga na kuukuza mfumo dume. Tatizo la Harmonize ni kuchanganya mambo kutokana na imani yake, kwani kuna baadhi ya imani zina amini mungu wa kike, mungu wa mapenzi n.k. Lakini kwa waislamu tafsiri ya Mungu ni kuwa hana mfano na kitu chochote, hilo ndilo kosa pekee alilolifanya kwa kutoa maoni yake hayo ndiyo maana wailsamu ndiyo waliyokwazwa na hicho alichokisema, lakini kwa maoni yangu ilikuwa vizuri Harmonize angeitwa na taasisi inayosimamia mambo ya dini ya imani yake na kumfahamisha kuwa, alichokifanya kinaweza kumtoa kwenye imani na angeelekezwa na kufundishwa kunako upweke wa Mungu. Harmonize amekosa elimu ya tawhid ndiyo maana amepatwa na mkanganyiko wa kumfikiria Mungu huenda akawa na jinsia ya kike.Mpaka Hapo.Hujasema Kosa La Harmonise kwemye Maongezi hayo..
Ila umefanya rejea ya Character ya Harmonise ya matendo yake nje na Maneno aliyoyasema..
"Na kwenye kujadili Mada nafikiri Sio swala la msingi hilo"
Umetoa Hoja bila kuonyesha Kosa la Harmonise kwa Hoja ma Facts na Uthibitisho..
Unasema kutaja Bure wewe Mwenyewe umetaja Bure jina..
Jews hawataji kabisa Jina la Mungu wao wanaita Hasham (Jina ) bhasi..
Kaka harmonazi anakosea sana !! Jiulize what is conspiracy behind the speech? Ndipo utajua anakosea wapiMpaka Hapo.Hujasema Kosa La Harmonise kwemye Maongezi hayo..
Ila umefanya rejea ya Character ya Harmonise ya matendo yake nje na Maneno aliyoyasema..
"Na kwenye kujadili Mada nafikiri Sio swala la msingi hilo"
Umetoa Hoja bila kuonyesha Kosa la Harmonise kwa Hoja ma Facts na Uthibitisho..
Unasema kutaja Bure wewe Mwenyewe umetaja Bure jina..
Jews hawataji kabisa Jina la Mungu wao wanaita Hasham (Jina ) bhasi..