Harmonize afunga ndoa na mpenzi wake Sarah

Harmonize afunga ndoa na mpenzi wake Sarah

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Inasemekana msanii Harmonize a.k.a Kondeboy anafunga ndoa leo kwenye ukumbi wa mlimani city.

Inasemekana ndoa ni ya waalikwa wachache sana hata WCB hawajaalikwa.

Mwenye taarifa za uhakika azishushe hapa.

—————————————————————
Updates:

Sasa sio tetesi tena, msanii Harmonize amefunga pingu na mpenzi wake wa siku nyingi Sara ambaye ana asili ya Italy.

Sherehe ya harusi imefanyika usiku huu wa tarehe 7/9/2019 katika ukumbi wa uliopo jijini Dar.



Screenshot_20190906-205706.jpeg
Screenshot_20190906-210005.jpeg
[/b]
 
Ndoa zipo za aina tatu .., sasa hiyo ni ndoa ya aina gani,.?? Ya kidini,bomani au ya mkeka??!!!
 
Back
Top Bottom