Harmonize aja na wimbo mpya, atangaza yeye ndio Mwalimu wa Amapiano

Harmonize aja na wimbo mpya, atangaza yeye ndio Mwalimu wa Amapiano

Hahahahahaha hili pigo tuliitaje ni upper cut ama



Ule mdundo daaaah hatari ila sandakalawe aiseee huchoki isikiliza
Eti hata mm naipenda nikiisikia tuu natikisa kiungo chochote
 
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Flava Harmonize ametoa wimbo unaoitwa Mang'dakiwe Remix ambao amesema ni Darasa la amapiano kwa wasanii wengine. Darasa hili la amapiano linakuja wakati Diamond Platnumz amekuwa akitamba na wimbo wa amapiano unaoitwa "IYO".


labda darasa la wajinga, walimu wa amapiano wako SA kiazi ww
 
[emoji2][emoji2]Jamaa ukiacha mambo yake mengine, anajua sana kuimba. Hasa hizi nyimbo za club
Harmo kwasasa ana stress hajijui, kitendo cha kuachana na Sarah sio kidogo, hadi kupita na msmkwe wa Ray ilikuwa kujaribu kujitibu na stress kumbe hapo napo ni mdomo wa mamba, akirufiana na Sarah jamaa atanyooka
 
Back
Top Bottom