Harmonize aja na wimbo mpya, atangaza yeye ndio Mwalimu wa Amapiano

Hahahahahaha hili pigo tuliitaje ni upper cut ama



Ule mdundo daaaah hatari ila sandakalawe aiseee huchoki isikiliza
Eti hata mm naipenda nikiisikia tuu natikisa kiungo chochote
 
labda darasa la wajinga, walimu wa amapiano wako SA kiazi ww
 
[emoji2][emoji2]Jamaa ukiacha mambo yake mengine, anajua sana kuimba. Hasa hizi nyimbo za club
Harmo kwasasa ana stress hajijui, kitendo cha kuachana na Sarah sio kidogo, hadi kupita na msmkwe wa Ray ilikuwa kujaribu kujitibu na stress kumbe hapo napo ni mdomo wa mamba, akirufiana na Sarah jamaa atanyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…