kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,946
- 5,470
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mana na kiba naye anaiga kwa kupata kick kwa kutoka na kidoti na kujipendekeza kwa wema.Mshauri wake ni diamond.. Diamond anaamini bila kick za mademu huwezi kutoka, naona ndio anamtafutia kick huyo mtoto
Wote hao ni wapuuzi.. Wamwangalie AYNdio mana na kiba naye anaiga kwa kupata kick kwa kutoka na kidoti na kujipendekeza kwa wema.
Hili game la bongo bila magumashi gumu kweli, AY ndio maana hayuko midomoni mwa raia sana coz hana tabia za kutafuta kickWote hao ni wapuuzi.. Wamwangalie AY
Weee mbona Ka dada kazuri tu jamani.Kidemu chenyewe kibayaaaa
Weee mbona Ka dada kazuri tu jamani.
MCHEKI hapa>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>> VideoMPYA: Mabibi na mabwana video ya 'zigo remix' ya Ay ft. Diamond ndio hii imetoka - TZA_MillardAyoWote hao ni wapuuzi.. Wamwangalie AY
Mshauri wake ni diamond.. Diamond anaamini bila kick za mademu huwezi kutoka, naona ndio anamtafutia kick huyo mtoto
Diamond amerelax?? Mbona anatukanana na X zake kila siku huko mitandaoni?? Mr Nice, Nature, AY, Mb Dogg na wengine enzi zile walikuwa wanabebwa na skendo za mademu pia?? Na huyu Marlaw wa majuzi nae alibebwa na skendo??Tatizo ni unafki wa wabongo.. Wakitoa nyimbo zao au kujihusisha na vitu vyovyote vya kimaendeleo wachache sana wanarespond na kuvipa hype...
Ila ikitokea wametangaza mahusiano yao, au umbea umbea wowote au jambo lolote la ajabu, ndio linakuwa gumzo la town... Kila mtu anafuatilia na kulipa attention kuliko hata la msingi linalofanywa na hawa wasanii wetu
Kwahiyo mwisho wa siku, chanzo ni sisi na sio wao.. Haiwezekani mimi nimeenda kushoot video South Africa au popote pale na Director mkali, nikatumia zaidi ya 30mil na kuipromote kazi yangu afu mrejesho kutoka kwa wadau wa mziki ukawa mdogo na usinilipe nikaishia kusifiwa tu kwamba ni mfano wa kuigwa hahahaha ni USE**E HUU.. Kuliko kupata stress niishie kutumia madawa na vilevi ni bora nijiongeze..
Ukifika level ambayo fans wapo active kwako ndio unarelax, kama alipofika diamond sasa...
Diamond amerelax?? Mbona anatukanana na X zake kila siku huko mitandaoni?? Mr Nice, Nature, AY, Mb Dogg na wengine enzi zile walikuwa wanabebwa na skendo za mademu pia?? Na huyu Marlaw wa majuzi nae alibebwa na skendo??
Hehehehe ai we unamaneno kale kadada nakapenda, hasa kakiwa kwa interview kapo vizuri sana kichwani PiaKazuri wapi, kamenenepa uso lakini vimikono vimekonda. Videmu kama hivyo vinawafaa hai hai bongofleva
Videmu type Hiyo hata Mie sivipendi.Kazuri wapi, kamenenepa uso lakini vimikono vimekonda. Videmu kama hivyo vinawafaa hai hai bongofleva
Tatizo ni unafki wa wabongo.. Wakitoa nyimbo zao au kujihusisha na vitu vyovyote vya kimaendeleo wachache sana wanarespond na kuvipa hype...