Harmonize ajitwalia mrembo wa Kenya Hudda bosschick

Mshauri wake ni diamond.. Diamond anaamini bila kick za mademu huwezi kutoka, naona ndio anamtafutia kick huyo mtoto
Ndio mana na kiba naye anaiga kwa kupata kick kwa kutoka na kidoti na kujipendekeza kwa wema.
 
mm naongeleaga sana hawa wanapimaga ngoma yaan ukimwi napenda kujua star anaye julikana anao na awasambazie wote nahs tutabd tutafute wasanii wapya
 
Mshauri wake ni diamond.. Diamond anaamini bila kick za mademu huwezi kutoka, naona ndio anamtafutia kick huyo mtoto

Tatizo ni unafki wa wabongo.. Wakitoa nyimbo zao au kujihusisha na vitu vyovyote vya kimaendeleo wachache sana wanarespond na kuvipa hype...

Ila ikitokea wametangaza mahusiano yao, au umbea umbea wowote au jambo lolote la ajabu, ndio linakuwa gumzo la town... Kila mtu anafuatilia na kulipa attention kuliko hata la msingi linalofanywa na hawa wasanii wetu

Kwahiyo mwisho wa siku, chanzo ni sisi na sio wao.. Haiwezekani mimi nimeenda kushoot video South Africa au popote pale na Director mkali, nikatumia zaidi ya 30mil na kuipromote kazi yangu afu mrejesho kutoka kwa wadau wa mziki ukawa mdogo na usinilipe nikaishia kusifiwa tu kwamba ni mfano wa kuigwa hahahaha ni USE**E HUU.. Kuliko kupata stress niishie kutumia madawa na vilevi ni bora nijiongeze..

Ukifika level ambayo fans wapo active kwako ndio unarelax, kama alipofika diamond sasa...
 
Diamond amerelax?? Mbona anatukanana na X zake kila siku huko mitandaoni?? Mr Nice, Nature, AY, Mb Dogg na wengine enzi zile walikuwa wanabebwa na skendo za mademu pia?? Na huyu Marlaw wa majuzi nae alibebwa na skendo??
 
Dimond karelax, hilo swala la kujibu watu wanaomchokonoa ni kitu cha kawaida sana.. Ni sawa na wakina juma nature walivyokuwa na beef kipindi hiko, na kurushiana maneno hadi kwenye nyimbo JE ILIKUWA KUTAFUTA KIKI????

Kiki tokea kitambo tu, afu swala la kuwa na demu anayefahamika ni kiki?? Nature alivyokuwa na Sintah ilikuwa kutafuta kiki??

Ujue tu, kila kinachofanyika miaka ya leo, tofauti na miaka 10 iliyopita ni uwazi kutokana na maendeleo ya teknolojia ndio maana wakifanya kitu kidogo kinasambaa haraka.. Na ili utawale kwenye social media lazima kuwe na kitu cha kuongelewa, huoni kwanini beef ya kiba, diamond, na wema inapewa uzito kuliko mazuri wanayofanya hawa watu????

Unafikiri nature akirudi sasahivi, au yeyote aliyefanya vyema kabla atasumbua bila ngazi ya beef au kikj yeyote??? HAKUNA..!!
 
Kazuri wapi, kamenenepa uso lakini vimikono vimekonda. Videmu kama hivyo vinawafaa hai hai bongofleva
Hehehehe ai we unamaneno kale kadada nakapenda, hasa kakiwa kwa interview kapo vizuri sana kichwani Pia
 
Tatizo ni unafki wa wabongo.. Wakitoa nyimbo zao au kujihusisha na vitu vyovyote vya kimaendeleo wachache sana wanarespond na kuvipa hype...

Ila ikitokea wametangaza mahusiano yao, au umbea umbea wowote au jambo lolote la ajabu, ndio linakuwa gumzo la town... Kila mtu anafuatilia na kulipa attention kuliko hata la msingi linalofanywa na hawa wasanii wetu

Kwahiyo mwisho wa siku, chanzo ni sisi na sio wao.. Haiwezekani mimi nimeenda kushoot video South Africa au popote pale na Director mkali, nikatumia zaidi ya 30mil na kuipromote kazi yangu afu mrejesho kutoka kwa wadau wa mziki ukawa mdogo na usinilipe nikaishia kusifiwa tu kwamba ni mfano wa kuigwa hahahaha ni USE**E HUU.. Kuliko kupata stress niishie kutumia madawa na vilevi ni bora nijiongeze..

Ukifika level ambayo fans wapo active kwako ndio unarelax, kama alipofika diamond sasa...

ukweli mchungu , ndo maana bell 9 , barnaba wakina AY wanaimba poa na video kali lakini hakuna anayewapa attention kisa hawana maskendo ya kuwatoa....ningekuwa mimi ningetafuta kiki tu ili niendane na soko la sasa ambalo bila kiki hata utoe video na Beyonce lakini diamond akashoot na kingwendu watu watahaha na diamond
 
Sasa kahamia Kwa Jack Wolper , akitoka hapo Kwa Madame !!
 
Back
Top Bottom