mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
WCB bado wanaendeleza tabia yao mbaya ya kuiba mahadhi ya nyimbo za wasanii wengine ndani na nje ya nchi na hivyo kuvunja sheria mbalimbali zinazohusu inshu za hati miliki katika sekta ya Music.
Hivi karibuni mfanyakazi/mwanamuziki wa CEO Diamond platnum ajulikanaye kwa jina la Mbosso, ametoa wimbo unaoitwa Baikoko unaofanya vizuri sehemu mbalimbali.
Lakini katika wimbo huo wa baikoko, kuna uhuni na uwizi umefanyika , kwani viranga hao wa WCB wamesample wimbo wa huyu msanii mla mkuku na mayai yake yaani harmonize, ikiwa wameiba biti ya wimbo wake wa Show me aliomshirikisha rich Mavoko.
Namshauri Tena Harmonize awapeleke Tena WCB polisi au Basata Ili wimbo huo ufungiwe kwa kuvunja sheria za nchi na taratibu kiujumla.
Nyimbo hizi hapa kajionee uwizi
[4/17, 10:54 AM] Hideki Tojo:
[4/17, 10:55 AM] Hideki Tojo: