Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Hata Rich Mavoko kuna biti kaibiwa ...sikiliza vizuri hiyo baikoko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namshauri Tena Harmonize awapeleke Tena WCB polisi au Basata Ili wimbo huo ufungiwe kwa kuvunja sheria za nchi na taratibu kiujumla.
Hivi kwa akili zenu mnaamini msanii aliye lebo anaweza kumilikishwa beat?! In most cases, beat ni mali ya producer. Na kwa case label, kuna uwezekano mkubwa beat ikawa ni mali ya lebo.Ila zinafanana mno, WCB Kama majizi hivi
Inategemea na makubaliano.Kwani biti uwa ni mali ya msanii au producer? Hiyo beat ya laizer. Ingekuwa ni mali ya msanii basi beat ya nikusaidieje pro.jay angepata mgao
Kuna kipindi nili msikiliza Lamar na Master Jay walisema duniani kote biti ni mali ya producer anaye itengeneza, msanii pale ni kama anakodishiwa lkn biti si mali yake na ndio maana Nikusaidieje ya Prof Jay, ile hela aliyolipwa Majani baada ya biti yake kutumika kwenye movie moja (jina limenitoka) alicheza Lupita Nyongo mzigo wote alichukua Majani.Inategemea na makubaliano.
Baadhi ya makubaliano niliyoweza kuyasoma kwa uchache kwenye kitabu kinachohusiana na biashara ya muziki ni kama ifuatavyo kwa uchache:
1. Msanii kuchukua beat/song nzima kama ya kwake producer hapati mapato ya ziada isipokuwa kwa kazi aliyoifanya (PRODUCTION PAYMENTS); Msanii hubaki kama mmiliki mkuu.
AU
2. Msanii & Producer kugawana mafao (royalties) kutokana na matumizi ya kazi (song/instrumental/beat):
NIKIMAANISHA mauzo yatokanayo na:
Streaming & downloads (YT, Spotify etc.), MATANGAZO, FILAMU ETC
Nyimbo ikiwa sampled, remixed, re-released na wao wenyewe au msanii mwingine bado watalipwa.