Harmonize akamshikati Mbosso sababu ame-sample biti yake ya Show Me bila kibali kwenye baikoko

Harmonize akamshikati Mbosso sababu ame-sample biti yake ya Show Me bila kibali kwenye baikoko

Nashauri hii vita Ile deadly , bloodly and fatal yaani wasanii waanze kumiliki bastola na machawa nao wamiliki bastola , waanze kuuana ndo heshima utakuja, Kama kina Nipsey, 2pac, big
 
Nashauri hii vita Ile deadly , bloodly and fatal yaani wasanii waanze kumiliki bastola na machawa nao wamiliki bastola , waanze kuuana ndo heshima utakuja, Kama kina Nipsey, 2pac, big
Unatembea na kiwiliwili huku ukimiliki kasha la kuchwa lisilo na ubongo.
 
WCB bado wanaendeleza tabia yao mbaya ya kuiba mahadhi ya nyimbo za wasanii wengine ndani na nje ya nchi na hivyo kuvunja sheria mbalimbali zinazohusu inshu za hati miliki katika sekta ya Music.

Hivi karibuni mfanyakazi/mwanamuziki wa CEO Diamond platnum ajulikanaye kwa jina la Mbosso, ametoa wimbo unaoitwa Baikoko unaofanya vizuri sehemu mbalimbali.

Lakini katika wimbo huo wa baikoko , Kuna uhuni na uwizi umefanyika , kwani viranga hao wa WCB wamesample wimbo wa huyu msanii mla mkuku na mayai yake yaani harmonize, ikiwa wameiba biti ya wimbo wake wa Show me aliomshirikisha rich Mavoko.

Namshauri Tena Harmonize awapeleke Tena WCB polisi au Basata Ili wimbo huo ufungiwe kwa kuvunja sheria za nchi na taratibu kiujumla.

Nyimbo hizi hapa kajionee uwizi

[4/17, 10:54 AM] Hideki Tojo:
[4/17, 10:55 AM] Hideki Tojo:

Asante kwa taarifa mjumbe.
 
kufanana Zinafanana Producer Kaishiwa Hana Ubunifu Lizer Hata Ukisikiliza Teamo Ya Rayvanny Na Number One Ya Rayvanny Na Zuchu Utagundua Biti Ni Moja
Hivi ile beat ya number one kaitengeneza laizer au mniger? Ina signature ya Sezy on this beat signature ya producer flani wa nigeria
 
Nashauri hii vita Ile deadly , bloodly and fatal yaani wasanii waanze kumiliki bastola na machawa nao wamiliki bastola , waanze kuuana ndo heshima utakuja, Kama kina Nipsey, 2pac, big

Kichwa chako ni sanduku la kuhifadhia meno tu, ni mzigo kwa miguu.
 
Sidhani kama Harmonize keshamalizana na WCB kuhusiana na Hati Miliki ya kazi alizofanya akiwa chini ya WCB. Pili, hatufahamu terms and conditions za Producer Laizer, pengine Beat ni Mali yake na sio ya Msanii kama alivyokua anafanya Majani(Bongo Rec)
Tatu, Swala la sampling ulimwenguni kwa sasa ni swala la kawaida sana. Muziki hauna mapya.
Ashamaliza ..wcb kwa roho zao za kishetani wasingekubali kitu
 
huyo shortii amechanganyikiwa ...naona haamini kama kajala kamtema sasa amebaki kubweka hovyo
 
Back
Top Bottom