Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 452299kuna watu wanajua kula bata bwana siyo wengine wanatuletea shida tu.
Ulitaka ajenge International Airport kama ile ya Chato sio?! Btw, unaweza kututajia huko kwenu tukaona uzuri wake manake watu wa JF hodari sana a wkukandia kwa wenzenu wakati majority mnatoka kwenye lindi la umaskini tena wa kutisha na vijiji vya hovyo hovyo kuiko maelezo lakini mkiwa JF mnajifanya kiswahili kirefu wakati hamna lolote lile!!!Ningeona huyo Msanii anatumika kutumbuiza ili kupatikane Pesa za kuyabadilisha maisha ya Watu wa Chalinze ambao ni Masikini wa kutukuka hadi leo ili wapate maendeleo thabiti ningepongeza na kushukuru mno. Kuna siku nilipata bahati ya kupita eneo la huyo Mstaafu na nikatamani hata kulia kwani ukiacha tu hapo anapoishi lakini huko kwingineko mandhari ni mabaya na yanatia aibu na huwezi amini kuwa Mwanakijiji mwenzao aliwahi kuwa Kiongozi wa nchi hii na hata sasa Mwanawe ni Kiongozi wao lakini bado Watu wa Chalinze wanaishi maisha duni na ya Kimasikini sana.
Hivi ni mara yako ya kwanza kusikia shows za aina hiyo?!Zamani ilikua msanii akienda nje anaenda kufanya show kwa ajili ya familia au Tanzanians wachache waliounga nguvu, yale hayakua maendeleo, kama ule mtindo umejirudia na umetufuata chumbani huku ni kuchimbiana kaburi.
Ningeona huyo Msanii anatumika kutumbuiza ili kupatikane Pesa za kuyabadilisha maisha ya Watu wa Chalinze ambao ni Masikini wa kutukuka hadi leo ili wapate maendeleo thabiti ningepongeza na kushukuru mno. Kuna siku nilipata bahati ya kupita eneo la huyo Mstaafu na nikatamani hata kulia kwani ukiacha tu hapo anapoishi lakini huko kwingineko mandhari ni mabaya na yanatia aibu na huwezi amini kuwa Mwanakijiji mwenzao aliwahi kuwa Kiongozi wa nchi hii na hata sasa Mwanawe ni Kiongozi wao lakini bado Watu wa Chalinze wanaishi maisha duni na ya Kimasikini sana.
sebuleniHuyo ndio Jakaya Mrisho Kikwete the Man himself ,anakula raha tu, Tamasha Dogo msoga
Mkuu unapoongelea maeneo ambayo vijana wameathirika na madawa ya kulevya chalinze huwezi kuacha kuitaja.....pale mamia ya vijana wameharibika haswaa hadi inatia wasiwasi.Ningeona huyo Msanii anatumika kutumbuiza ili kupatikane Pesa za kuyabadilisha maisha ya Watu wa Chalinze ambao ni Masikini wa kutukuka hadi leo ili wapate maendeleo thabiti ningepongeza na kushukuru mno. Kuna siku nilipata bahati ya kupita eneo la huyo Mstaafu na nikatamani hata kulia kwani ukiacha tu hapo anapoishi lakini huko kwingineko mandhari ni mabaya na yanatia aibu na huwezi amini kuwa Mwanakijiji mwenzao aliwahi kuwa Kiongozi wa nchi hii na hata sasa Mwanawe ni Kiongozi wao lakini bado Watu wa Chalinze wanaishi maisha duni na ya Kimasikini sana.
Ulitaka ajenge International Airport kama ile ya Chato sio?! Btw, unaweza kututajia huko kwenu tukaona uzuri wake manake watu wa JF hodari sana a wkukandia kwa wenzenu wakati majority mnatoka kwenye lindi la umaskini tena wa kutisha na vijiji vya hovyo hovyo kuiko maelezo lakini mkiwa JF mnajifanya kiswahili kirefu wakati hamna lolote lile!!!
Eti ukatamani kulia... ni unafiki ulioje huu!!! Yaani unataka kujifanya umezoea maisha ya kitajiri tajiri sio kiasi kwamba kuiona Chalinze ikataka kukuliza?!
Wewe unatakiwa uugue saratani ya makalio
nishaugua tayari, umeridhika???Wewe unatakiwa uugue saratani ya makalio
mkuu hata wewe unaweza kuhamasisha kesho diamond akaja mkafanya hilo wazo!
ushawahi kushauri kabla? ebu nipe ushahidi
ushawahi kutuma wazo kwa ridhwan...no
unakua kama nzi...ukiona kitu ndo utakizodoa weee
Acha longo longo wewe... taja huko kwenu hapa tujiridhishe kwamba unatoka maisha bora na ndio maana Chalinze ilitaka kukuliza vinginevyo; acha unafiki!Leo nimejiapiza nisiwajibu Watu hovyo kwa kuwa nataka kufunga mwaka kwa ustadi uliotukuka ila naona kwa mbali kama vile unataka kubadilisha hiyo nia yangu niliyojipangia leo. Endelea tu kujaa katika ' Frame ' Mkuu ili nifunge mwaka 2016 vizuri na Wewe.
Mkuu unapoongelea maeneo ambayo vijana wameathirika na madawa ya kulevya chalinze huwezi kuacha kuitaja.....pale mamia ya vijana wameharibika haswaa hadi inatia wasiwasi.
Acha longo longo wewe... taja huko kwenu hapa tujiridhishe kwamba unatoka maisha bora na ndio maana Chalinze ilitaka kukuliza vinginevyo; acha unafiki!
na wewe ahsante kwa kunisaidia kueleza ukweli bila kujua. Kiukweli huyu mtukufu hataki kuambiwa ukweli, kusikia ya wengine hivyo ni GAIDI. nimequote kauli yako usije kuniruka....... Watu wasiopenda kuambiwa ukweli, kusikia ya wengine ni Magaidi.
tayari, umeridhika???
vijana wa ccm mna laana sio bure
na wewe ahsante kwa kunisaidia kueleza ukweli bila kujua. Kiukweli huyu mtukufu hataki kuambiwa ukweli, kusikia ya wengine hivyo ni GAIDI. nimequote kauli yako usije kuniruka