Harmonize ala shavu kutumbuiza nyumbani kwa Rais mstaafu Kikwete mwaka mpya msoga

Harmonize ala shavu kutumbuiza nyumbani kwa Rais mstaafu Kikwete mwaka mpya msoga

Naona wana Familia ya ' Mkwere ' sasa mmepewa gadgets ili mnijibu GENTAMYCINE huku JF. Kama upo hapo karibu na Vasco Da Gama hebu niulizie ile Visa yake iliyosababisha azuiwe JNIA ilishapatikana? Na vipi wale ' Jamaa ' wanne waliorudishwa pale Uwanjani tunao Uraiani au bado tumegawana nao Majengo ya Serikali?

ha ha ha

mbona mnakimbiliaga kuchagua upande? kwa nini tuko hivi?
 
Mimi naona Babu Seya angelitumbuiza ingelikuwa safi sana.


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
mzee wetu mwaka mpya atakuwa ameonana nao saa12 asubuh..yupo bize na majukumu na kuijenga nchi... ila alijitahd kututundikia ile kadi mtandaonii..
 
Maisha ni Kama Kioo, ukicheka nayo yanacheka ukinuna nayo yananuna, ukifoka nayo yanafoka!
 
Mmempa za USO jamaa bwana much know sana

Kiongoz hivi hawa jamaa wamelishwa nini mbona kila kitu wanapinga tu. Sielewi kabisa naona shida mkuu yaani hakuna kizuri kwao.
 
Yule msukuma hataki tule maisha eti kisa anabana matumizi alafu anachokifanya akionekani.

Tunakukumbuka sana Mkwere.
 
Kula Bata Mzee JK. Tunakutakia maisha marefu Baba. Nyakati ndio tunakukumbuka kweli! . Tangia umeondoka BABA JK, Tunaisoma namba kwelikweli, na matamko yamezidi kama vile tuwepata UHURU jana. Maneno ya FARAJA yametoweka! kabisa.
 
Upo sawa ndio maana nakuombea afya njema ili ushuhudie mema anayotutendea rais wetu na kama kuna ubaya unauona tusubiri kuona majibu yake maana ubaya ulipwa hapa hapa duniani kama ulivyosema.

Kwa hiyo unataka kuniambia yule bwana mkubwa kukosa urais analipwa ubaya wake aliotutendea akiwa waziri wa Maji na Ardhi? Mwambieni shamba lake la Moro lipo kwenye list ya mashamba 15 kufutwa pamoja na bwana mkubwa Ziro. Ila tusigombane nisamehe kama nakukukwaza.

Ile kampeni yetu vipi mbona siioni ikiendelea ya kumtafuta Ben?

Na vipi kubenea amewageuka coz alichoandika sijamuelewa elewa. Ben yupo kitaa mnazunguka nae kumbe mnatusbua tu.
Nimeipenda hiyo mkuu, maneno kuntu kabisa
 
  • Thanks
Reactions: MJJ
Back
Top Bottom