MJJ
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 313
- 256
Basi kamuulize kwanza mamvi ndio urudi tena,,, vipi atarudia tena kugombea 2020?
Hawezi kurudi huyo umemaliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi kamuulize kwanza mamvi ndio urudi tena,,, vipi atarudia tena kugombea 2020?
Naona wana Familia ya ' Mkwere ' sasa mmepewa gadgets ili mnijibu GENTAMYCINE huku JF. Kama upo hapo karibu na Vasco Da Gama hebu niulizie ile Visa yake iliyosababisha azuiwe JNIA ilishapatikana? Na vipi wale ' Jamaa ' wanne waliorudishwa pale Uwanjani tunao Uraiani au bado tumegawana nao Majengo ya Serikali?
Chinga mwenzie na Mama wamaView attachment 452299kuna watu wanajua kula bata bwana siyo wengine wanatuletea shida tu.
Wewe....Mimi naona Babu Seya angelitumbuiza ingelikuwa safi sana.
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mimi naona Babu Seya angelitumbuiza ingelikuwa safi sana.
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Maneno yako hayo!View attachment 452299kuna watu wanajua kula bata bwana siyo wengine wanatuletea shida tu.
Hao "watu" bhana... Hata mimi nimewamisiView attachment 452299kuna watu wanajua kula bata bwana siyo wengine wanatuletea shida tu.
Kesha Fanya yakeJamaa yenu yupo kwao chato anaangalia 360.
Anawaza amteue nani.
Anawaza amkamate nani.
Anakomaa na Lema.
Anakomaa na JF
Anakomaa na Tanzagiza FB
Ooh yeah!! Yeye hakuna anachowaza zaidi ya kufukuza na kuteua washkaji zakeKesha Fanya yake
Mmempa za USO jamaa bwana much know sanaHawezi kurudi huyo umemaliza.
Mmempa za USO jamaa bwana much know sana
Nimeipenda hiyo mkuu, maneno kuntu kabisaUpo sawa ndio maana nakuombea afya njema ili ushuhudie mema anayotutendea rais wetu na kama kuna ubaya unauona tusubiri kuona majibu yake maana ubaya ulipwa hapa hapa duniani kama ulivyosema.
Kwa hiyo unataka kuniambia yule bwana mkubwa kukosa urais analipwa ubaya wake aliotutendea akiwa waziri wa Maji na Ardhi? Mwambieni shamba lake la Moro lipo kwenye list ya mashamba 15 kufutwa pamoja na bwana mkubwa Ziro. Ila tusigombane nisamehe kama nakukukwaza.
Ile kampeni yetu vipi mbona siioni ikiendelea ya kumtafuta Ben?
Na vipi kubenea amewageuka coz alichoandika sijamuelewa elewa. Ben yupo kitaa mnazunguka nae kumbe mnatusbua tu.