Harmonize ala shavu kutumbuiza nyumbani kwa Rais mstaafu Kikwete mwaka mpya msoga

Piece of written masturbation. Umekosa hoja unaishia kumwaga viroja! Narudia swali: Taja huko kwenu ambako mambo yao safi or else; keep your mouth shut!

Mkoani Gisenyi nchini Rwanda Mkuu. Njoo huku uone tofauti iliyopo ili ukienda Ukwereni ukawasaidie kuwabadilisha. Kama upo na Vasco Da Gama hapo karibu muulize anaionaje Rwanda ya sasa na anaikumbuka vipi nchi yetu ya Rwanda?
 
Jamaa yenu yupo kwao chato anaangalia 360.
Anawaza amteue nani.
Anawaza amkamate nani.
Anakomaa na Lema.
Anakomaa na JF
Anakomaa na Tanzagiza FB
 
Uongo ni dhambi kubwa na ni uchonganishi, hivi kweli unayajua wewe tu maeneo hayo ilhali ni barabarani tu,,,, jamani haya ndio maendeleo yetu sehemu kubwa watanzania wengi,,, kumbe we jamaa ni shida kichwani,,,,,, pole sana kwa chuki zako kwa family ya JK na Ridh,, ndio hivyo wapo juu yako tu hamna namna,,, we endelea kubwatuka tu humu.......
 
Danganya vi.laza wenzako! Mtu na akili yako uonee fahari Rwanda...!

Mkuu mbona unaona Wivu Mimi kuisifia nchi yangu nzuri na iliyobarikiwa ya Rwanda. au na Wewe unataka kuwa Mnyarwanda tukufanyie mchakato uhamie huku? Najua Vasco Da Gama sasa hana hamu na Rwanda na somo letu alilipata.
 

Ili uamini maneno yangu naomba tutume ' drones ' zichukuwe picha ya eneo zima la Chalinze kwenu huko ili ukielewe hiki ninachokisema hapa. Kataa kubali Vasco Da Gama na Mwana ' Kidoti ' hakuna walichowafanyia Watu wa Chalinze na Bagamoyo nzima.
 
Mkuu unapoongelea maeneo ambayo vijana wameathirika na madawa ya kulevya chalinze huwezi kuacha kuitaja.....pale mamia ya vijana wameharibika haswaa hadi inatia wasiwasi.
Wapi na ni sehemu gani vijana wameharibika, mbona mnaandika msivyovijua nyie, mnapita barabarani tu mnaona mnaijua chalinze,,,, hafu chuki zenu hizo tutawaongezea 2020 ili mpasuke kwa pressure mtakapoona ndoto zenu ni impossible....
 
Anza basi tukupe vyako vya kufungia mwaka,,,,,
 
Mkuu mbona unaona Wivu Mimi kuisifia nchi yangu nzuri na iliyobarikiwa ya Rwanda. au na Wewe unataka kuwa Mnyarwanda tukufanyie mchakato uhamie huku? Najua Vasco Da Gama sasa hana hamu na Rwanda na somo letu alilipata.
Kiroja kingine hiki!!! Hiyo Rwanda ingekuwa nchi ya maana ungeendelea kupigwa joto la Dar es salaam! Watu mmehifadhiwa na kuokolewa na majanga ya kila aina halafu mnataka kuleta kujua!!! Hiyo Rwanda yenyewe ni maskini wa kutupwa!!! Btw, huyo PK wenu aliishia wapi na fyokofyoko zake hadi useme JK hana hamu na Rwanda? Sio yeye mwenyewe ndo alijileta hapa mwaka jana!!!
 
Basi kamuulize kwanza mamvi ndio urudi tena,,, vipi atarudia tena kugombea 2020?
 
Mkoani Gisenyi nchini Rwanda Mkuu. Njoo huku uone tofauti iliyopo ili ukienda Ukwereni ukawasaidie kuwabadilisha. Kama upo na Vasco Da Gama hapo karibu muulize anaionaje Rwanda ya sasa na anaikumbuka vipi nchi yetu ya Rwanda?
Ok kumbe unakumbuka kichapo cha Goma! Kumbe sio kosa lako pia mshukuruni sana Mungu mngepokea nyingine za uso kama mngeendelea kumchokoza! Ila bado wa aina yake wamebaki wengi mno hayajaisha bado.......
 


Wamesahau walivyokuwa wanasema Bandari ya Bagamoyo[emoji134] Chato ndio habari mpya? Bandari ya Bagamoyo siyo issue tena? Binadamu hana kumbukumbu za maneno yake.
 
Pita ivi [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] mkimbizi weee
Huyu mkimbizi wa ajabu kweli, Gisenyi yenyewe wamejaza migomba, anadhani watu wageni kwao, hiyo drone anasema ije ipige picha chalinze anaiona AL jazeera, hivi iruke Rwanda eneo liko wapi au watairusha DRC,,,,,huyu mkimbizi kweli anahangaika ndio mana kaanza kutusi
 
hahhahhaaaaaaaaaaaaahhaahhah ndugu kila jambo na wakati wake wakati wa hilo ukifika basi litafanyika
 
Hongera sana kula bata baba as tunakukumbuka tumenyimwa mikopo eti wanasema tunanunulia tv
 
J.K anaupenda sana wimbo wa matatizo by harmonize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…