Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Promota wa onesho la CHIMEZIE CHUKWUBUIKE ametoa malalamiko yake juu ya msanii wa Bongofleva Harmonize ambaye kakiuka makubaliano ya kufanya onesho.
“Nilimpa Harmonize pesa Dola elfu kumi kwa ajili ya kufanya maonesho kwenye miji mitatu Nchini Canada. Tulisaini mkataba nikaandaa kumbi.”
Msanii namba 1 Tanzania unalipwa million 23 kutumbuiza maonesho matatu?!