Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
10k ni show tatu za Canada ambazo ni nje ya Burundi kwahiyo jumla ni show nne ambazo malipo ya show tatu za canada ($10k) ni tofauti na hiyo ya Burundi japokuwa promota ni huyohuyo..nimekuwekea maelezo hapo chini1st note, watanzania sisi Lugha ya malikia inatupiga chenga sana...msome kipenge 1.2 muelewe then ndo mtoe mipovu...io 10k ni kwa show ya burundi tu(10k for Harmonize in Burundi), km lugha inasumbua tuambiane tutoe tafasiri sahihi....
2nd mleta thread amefanya kusudi kuweka nusu mkataba ili kuleta sintofahamu,why aweke mkataba nusu?aweke mkataba wote mpaka kwenye signatures...tutaaminije km huu mkataba ni OG na ulisainiwa, just draft or a fake all together.
Nildhani ni mimi tu sijui kusoma. Hiyo $10K ni Burundi tu.
Hiyo pesa ni ya Show ya Burundi tuu.. according to maelezo
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Wakuu hiyo habari ipo hiviSijaelewa
Malalamiko ya promoter ni yepi haswa? Huyo Harmo kakiuka kipengele gani cha mkataba?
Naona tunajadili Konde Gang na WCB tu hapa
Hata mimi nahisi ila nje ya hapo inaweza kuwa kikiShow 3 Kwa 23ml hiyo pesa hapana labda kama
Hiyo ilikua advance hapo sawa
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Kimsingi Harmo kakosea sana10k ni show tatu za Canada ambazo ni nje ya Burundi kwahiyo jumla ni show nne ambazo malipo ya show tatu za canada ($10k) ni tofauti na hiyo ya Burundi japokuwa promota ni huyohuyo..nimekuwekea maelezo hapo chini
Wakuu hiyo habari ipo hivi
Promota wa shoo CHIMEZIE CHUKWUBUIKE ametoa malalamiko yake juu ya msanii wa Bongofleva Harmonize ambaye amekiuka makubaliano ya kufanya shoo.
“Nilimtumia Harmonize pesa kiasi cha Dola elfu kumi kwa makubaliano ya kufanya shoo kwenye miji mitatu Nchini Canada. Tulisaini mkataba nikaandaa kumbi katika miji mitatu lakini alianza kukwepa na akawa hataki tena kuzungumzia suala hilo”
“Kabla ya kuchukua pesa hiyo alikuwa akinipigia mara kwa mara nimpatie pesa akidai anataka kufunga ndoa na mpenzi wake na hakuwa na pesa.”
“Alikutana na rafiki yangu London akamtumia kuzungumza na mimi akitaka tubadili kutoka Canada badala yake tufanye shoo Nchi yoyote Afrika tofauti na Afrika Mashariki”
“Tulikubaliana kufanya shoo Guinea Bissau, nikahangaika na kupata eneo la kufanyia shoo lakini hakutokea.
“Nimefanya kazi na Diamond Platinumz mara kibao lakini sijawahi kuwa na matatizo naye, nimefanya kazi na wasanii wengi Wiz Kid, Kizz Daniel sijawahi kupata matatizo bao.”
“Nilijitolea kumsaidia Harmonize lakini hataki kufanya shoo na hataki kunilipa pesa zangu simu zangu hapokei wala jumbe zangu hajibu. Kwa sasa sitaki tena shoo naye, nimepoteza kuandaa venue lakini sio tatizo nataka anilipe pesa zangu.”
“Polisi Nchini Tanzania wanafahamu kisa hiki kupitia kwa wakili niliyemwita kushughulikia kesi hii anaitwa Sabastian.” ameongea Chukwubuike kwa uchungu mkubwa.
#KitengeUpdates
Burundi ulitaka alipwe bilioni ngapi?Wasafi itabaki kuwa Lebo kubwa, bora na yenye thamani nchini. Unakimbia wasafi unaenda kulipwa 23M kwa show ya nje ya nchi!!!!????
Kwani elfu 10 ilikuwa ya show ya kanada au burundi[emoji3][emoji3][emoji3] Harmo akaona ampe Paulaa afungue dukaaBurundi ulitaka alipwe bilioni ngapi?
slavery mentalitySasa si Bora angebaki wasafi achukue asilimia 40 ...wasafi angekuwa analipwa zaidi ya dollars elfu 50 Kwa show hata akichukua asilimia 40 it's better
Kama huu ndio mkataba wewe ndio unakosea kuna neno "ONLY FOR" katika hichi kipengele. Linabainisha hiyo 10k ni ya Burundi pekee. Labda kama sio kiingereza ninachokijua mimi au wenzangu walio jaribu kukuelewesha hapo juu.10k ni show tatu za Canada ambazo ni nje ya Burundi kwahiyo jumla ni show nne ambazo malipo ya show tatu za canada ($10k) ni tofauti na hiyo ya Burundi japokuwa promota ni huyohuyo..nimekuwekea maelezo hapo chini
Wakuu hiyo habari ipo hivi
Promota wa shoo CHIMEZIE CHUKWUBUIKE ametoa malalamiko yake juu ya msanii wa Bongofleva Harmonize ambaye amekiuka makubaliano ya kufanya shoo.
“Nilimtumia Harmonize pesa kiasi cha Dola elfu kumi kwa makubaliano ya kufanya shoo kwenye miji mitatu Nchini Canada. Tulisaini mkataba nikaandaa kumbi katika miji mitatu lakini alianza kukwepa na akawa hataki tena kuzungumzia suala hilo”
“Kabla ya kuchukua pesa hiyo alikuwa akinipigia mara kwa mara nimpatie pesa akidai anataka kufunga ndoa na mpenzi wake na hakuwa na pesa.”
“Alikutana na rafiki yangu London akamtumia kuzungumza na mimi akitaka tubadili kutoka Canada badala yake tufanye shoo Nchi yoyote Afrika tofauti na Afrika Mashariki”
“Tulikubaliana kufanya shoo Guinea Bissau, nikahangaika na kupata eneo la kufanyia shoo lakini hakutokea.
“Nimefanya kazi na Diamond Platinumz mara kibao lakini sijawahi kuwa na matatizo naye, nimefanya kazi na wasanii wengi Wiz Kid, Kizz Daniel sijawahi kupata matatizo bao.”
“Nilijitolea kumsaidia Harmonize lakini hataki kufanya shoo na hataki kunilipa pesa zangu simu zangu hapokei wala jumbe zangu hajibu. Kwa sasa sitaki tena shoo naye, nimepoteza kuandaa venue lakini sio tatizo nataka anilipe pesa zangu.”
“Polisi Nchini Tanzania wanafahamu kisa hiki kupitia kwa wakili niliyemwita kushughulikia kesi hii anaitwa Sabastian.” ameongea Chukwubuike kwa uchungu mkubwa.
#KitengeUpdates
Sasa si Bora angebaki wasafi achukue asilimia 40 ...wasafi angekuwa analipwa zaidi ya dollars elfu 50 Kwa show hata akichukua asilimia 40 it's better
Soma mkataba huo hapo umeandikwa malipo ni $10,000 alishakuja 1st installment ya $5000...😂😂😂Show 3 Kwa 23ml hiyo pesa hapana labda kama
Hiyo ilikua advance hapo sawa
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Mkuu usibishane na mimi bhn hayo maelezo niliyotoa mimi nimeyacopy kwenye page ya kitenge yeye ndiye aliyefanya mahojiano na huyo promota na hayo ndio prodyuza aliyasema..mengine kuhusu mkataba sifahamu aisee labda tumsikie na harmo naeKama huu ndio mkataba wewe ndio unakosea kuna neno "ONLY FOR" katika hichi kipengele. Linabainisha hiyo 10k ni ya Burundi pekee. Labda kama sio kiingereza ninachokijua mimi au wenzangu walio jaribu kukuelewesha hapo juu. View attachment 2395302
Sijabishana nawe kaka, tunaeleweshana tu. Kitenge na huyo promota wote binadamu kama sisi. Mimi nakuomba rejea hayo makubaliano ya kimaandishi (mkataba) utaelewa hoka yetu ulipo.Mkuu usibishane na mimi bhn hayo maelezo niliyotoa mimi nimeyacopy kwenye page ya kitenge yeye ndiye aliyefanya mahojiano na huyo promota na hayo ndio prodyuza aliyasema..mengine kuhusu mkataba sifahamu aisee labda tumsikie na harmo nae
Mtumizi ya msanii usilinganishe na mimi nnae tumia 10000/- kwa skuKama promota analipia visa, tiketi ya ndege, malazi na vitu vidogo vidogo kwa ajili ya kufanya playback in two weeks unarudi Bongo sio mbaya. Watu wanabeba box kwa miezi mitatu au minne kwa hiyo pesa. We unaenda kukaa wiki mbili Canada unarudi na cash. Tatizo wabongo ubishoo unatuharibu. Hatuko serious na kazi
Mtumizi ya msanii usilinganishe na mimi nnae tumia 10000/- kwa sku
Soma mkataba huo hapo umeandikwa malipo ni $10,000 alishakuja 1st installment ya $5000...[emoji23][emoji23][emoji23]