Harmonize alipwa milioni 23 kutumbuiza maonesho matatu nje ya nchi

Harmonize alipwa milioni 23 kutumbuiza maonesho matatu nje ya nchi

Kama promota analipia visa, tiketi ya ndege, malazi na vitu vidogo vidogo kwa ajili ya kufanya playback in two weeks unarudi Bongo sio mbaya. Watu wanabeba box kwa miezi mitatu au minne kwa hiyo pesa. We unaenda kukaa wiki mbili Canada unarudi na cash. Tatizo wabongo ubishoo unatuharibu. Hatuko serious na kazi
23m ni ndogo sana.....kwa vyovyote vile......lazima ujue kuna kitu inaitwa BRAND maintaining we nyau
 
Mbongo mpe neno, ataongeza maneno elfu. Kweli Mwafrika na kusoma ni maji na mafuta. Mtu hajasoa mkataba tayari ameshahukumu
 
Chakusikitisha keyboard worriors wanaiponda 23M ya mwanaume Harmonize wakat wao humu ndani kila siku vilio vya kuomba ajira ya kulipwa vi laki 8.

Eehh sis ndio wabongo bwana
 
Ni kawaida tuu katika harakati za kujitafutia kipato chako mwenyewe bila kwenda kukinga mkononi kwa mtu.
INATEGEMEANA NA UNAONA NINI MBELE.
2020 nimeacha kazi ya 2.5m per month na kuanza kujihangaisha mwenyewe nikiingiza 0tsh kwa mwezi mwanzon ... after 4 months start making 120k...3months later pushing to 350k a month.....4 months later 750k and so on.
Humlambi mtu miguu wala hupangiwi muda wala majukum na mtu.

Mwachen kijana wa watu a make life yake kivyake vyake
 
Ktk kazi angalia zaidi potential network unayoweza kuijenga kutokana na exposure uliyopata hata bure angeweza kufanya ila hiyo show ikampa network itakayokuja kumuingizia hela ndefu zaidi
 
Ktk kazi angalia zaidi potential network unayoweza kuijenga kutokana na exposure uliyopata hata bure angeweza kufanya ila hiyo show ikampa network itakayokuja kumuingizia hela ndefu zaidi
Exactly...anachoina yeye sio lazima kila mtu aone...Tatizo wajuaji wa kibongo wanajifanya wanafaham kila kitu.inakera sanaa
 
Exactly...anachoina yeye sio lazima kila mtu aone...Tatizo wajuaji wa kibongo wanajifanya wanafaham kila kitu.inakera sanaa
Tatizo yeye anataka alipwe dollars kama mwenzake diamond , Kwanza harmonize hatakuja kumfikia diamond hlo anatakiwa alielewe , akishalielewa nafkr hataachia kila sent inayojileta sa hv , kuna sku dili za mil 23 atakuja kuzikumbuka na kwa kulia , by that time kajala hatakuwepo , na kimsingi bado hajajishikiza sehemu nyingi za hela , ni mziki tuuu ndo anaoutegemea mpak sasa ..na hii inlazimu kutoa Ngoma back to back ili alambe za platform...
 
Tatizo yeye anataka alipwe dollars kama mwenzake diamond , Kwanza harmonize hatakuja kumfikia diamond hlo anatakiwa alielewe ,
Mengine ulio andika baada ya haya ni kwel tupu lakin kipengele hiki nadhan ni maoni yako.
Habar za kutakakuwa kama Platnums hayo wewe umeyatoa wapi?

Yeye kuja kumfikia platnums unadhan ndio malengo yake? Na kama hapo before hakua hapa alipo unafikiri ni nini cha kumfanya ashindwe kufika alipo Diamond?
 
Mbongo mpe neno, ataongeza maneno elfu. Kweli Mwafrika na kusoma ni maji na mafuta. Mtu hajasoa mkataba tayari ameshahukumu
Sema jmaa ni nunda kinoma.

Wabongo wataongea weeee, watabweka weeee halafu yeye hata HATAKI INTERVIEW wala HAONGEI.

Siku inaisha maisha yanaendelea.
 
Sijabishana nawe kaka, tunaeleweshana tu. Kitenge na huyo promota wote binadamu kama sisi. Mimi nakuomba rejea hayo makubaliano ya kimaandishi (mkataba) utaelewa hoka yetu ulipo.
Kitenge amesharipoti habari nyingi tu ambazo hazina ukweli.
In fact kitenge habar zake nyingi hua na
Ukanjanja Sana cjui hua anatoa wapi yaaani?

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom