Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Naomba nieleweshe mkuu Franky Samuel hayo malalamiko ya promota kusuhu msanii Harmonize ni yapi?.Promota wa shoo CHIMEZIE CHUKWUBUIKE ametoa malalamiko yake juu ya msanii wa Bongofleva Harmonize ambaye kukiuka makubaliano ya kufanya shoo.
“Nilimpa Harmonize pesa Dola elfu kumi kwa ajili ya kufanya shoo kwenye miji mitatu Nchini Canada.Tulisaini mkataba nikaandaa kumbi”
Msanii namba 1 Tanzania unalipwa million 23 kuperform show 3View attachment 2393030View attachment 2393029View attachment 2393032View attachment 2393031
Naomba nieleweshe mkuu Franky Samuel hayo malalamiko ya promota kusuhu msanii Harmonize ni yapi?.
Nildhani ni mimi tu sijui kusoma. Hiyo $10K ni Burundi tu.1st note, watanzania sisi Lugha ya malikia inatupiga chenga sana...msome kipenge 1.2 muelewe then ndo mtoe mipovu...io 10k ni kwa show ya burundi tu(10k for Harmonize in Burundi), km lugha inasumbua tuambiane tutoe tafasiri sahihi....
2nd na mleta thread amefanya kusudi kuweka nusu mkataba ili kuleta sintofahamu,why aweke mkataba nusu?aweke mkataba wote mpaka kwenye signatures...tutaaminije km huu mkataba ni OG na ulisainiwa, just draft or a fake all together.
Wanadanganywa mkuu, wakitoka wasafi hata wale waliowadanganya wanajiweka pembeni.Sasa si Bora angebaki wasafi achukue asilimia 40 ...wasafi angekuwa analipwa zaidi ya dollars elfu 50 Kwa show hata akichukua asilimia 40 it's better
Rich mavoko ndo anasikitishaWanadanganywa mkuu, wakitoka wasafi hata wale waliowadanganya wanajiweka pembeni.
Acha kabisa.Rich mavoko ndo anasikitisha
Hiyo 23m ni yake hajamfanyia mtu kazi eboo.Wasafi itabaki kuwa Lebo kubwa, bora na yenye thamani nchini. Unakimbia wasafi unaenda kulipwa 23M kwa show ya nje ya nchi!!!!????
Hiyo pesa ni ya Show ya Burundi tuu.. according to maelezoPromota wa onesho la CHIMEZIE CHUKWUBUIKE ametoa malalamiko yake juu ya msanii wa Bongofleva Harmonize ambaye kakiuka makubaliano ya kufanya onesho.
“Nilimpa Harmonize pesa Dola elfu kumi kwa ajili ya kufanya maonesho kwenye miji mitatu Nchini Canada. Tulisaini mkataba nikaandaa kumbi.”
Msanii namba 1 Tanzania unalipwa million 23 kutumbuiza maonesho matatu?!
View attachment 2393032
SijaelewaPromota wa onesho la CHIMEZIE CHUKWUBUIKE ametoa malalamiko yake juu ya msanii wa Bongofleva Harmonize ambaye kakiuka makubaliano ya kufanya onesho.
“Nilimpa Harmonize pesa Dola elfu kumi kwa ajili ya kufanya maonesho kwenye miji mitatu Nchini Canada. Tulisaini mkataba nikaandaa kumbi.”
Msanii namba 1 Tanzania unalipwa million 23 kutumbuiza maonesho matatu?!
View attachment 2393032
Kwaiyo hayo ndo yanayokupa furaha?Acha kabisa.
Na yule wajuzi anajiita chui nako hasikiki kabisa sijui anatunga nyimbo?
Mtu akishasaidika anataka aliemsaidiaSasa si Bora angebaki wasafi achukue asilimia 40 ...wasafi angekuwa analipwa zaidi ya dollars elfu 50 Kwa show hata akichukua asilimia 40 it's better