ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,236
- 2,142
23m ni ndogo sana.....kwa vyovyote vile......lazima ujue kuna kitu inaitwa BRAND maintaining we nyauKama promota analipia visa, tiketi ya ndege, malazi na vitu vidogo vidogo kwa ajili ya kufanya playback in two weeks unarudi Bongo sio mbaya. Watu wanabeba box kwa miezi mitatu au minne kwa hiyo pesa. We unaenda kukaa wiki mbili Canada unarudi na cash. Tatizo wabongo ubishoo unatuharibu. Hatuko serious na kazi
We pussy brand maintaining yako inafika laki 2??23m ni ndogo sana.....kwa vyovyote vile......lazima ujue kuna kitu inaitwa BRAND maintaining we nyau
Exactly...anachoina yeye sio lazima kila mtu aone...Tatizo wajuaji wa kibongo wanajifanya wanafaham kila kitu.inakera sanaaKtk kazi angalia zaidi potential network unayoweza kuijenga kutokana na exposure uliyopata hata bure angeweza kufanya ila hiyo show ikampa network itakayokuja kumuingizia hela ndefu zaidi
Tatizo yeye anataka alipwe dollars kama mwenzake diamond , Kwanza harmonize hatakuja kumfikia diamond hlo anatakiwa alielewe , akishalielewa nafkr hataachia kila sent inayojileta sa hv , kuna sku dili za mil 23 atakuja kuzikumbuka na kwa kulia , by that time kajala hatakuwepo , na kimsingi bado hajajishikiza sehemu nyingi za hela , ni mziki tuuu ndo anaoutegemea mpak sasa ..na hii inlazimu kutoa Ngoma back to back ili alambe za platform...Exactly...anachoina yeye sio lazima kila mtu aone...Tatizo wajuaji wa kibongo wanajifanya wanafaham kila kitu.inakera sanaa
Mengine ulio andika baada ya haya ni kwel tupu lakin kipengele hiki nadhan ni maoni yako.Tatizo yeye anataka alipwe dollars kama mwenzake diamond , Kwanza harmonize hatakuja kumfikia diamond hlo anatakiwa alielewe ,
Kwani wakati yuko Mavoko yuko Wasafi alikuwa anapata nini ambacho kwasasa unadhani hapati?Rich mavoko ndo anasikitisha
Sema jmaa ni nunda kinoma.Mbongo mpe neno, ataongeza maneno elfu. Kweli Mwafrika na kusoma ni maji na mafuta. Mtu hajasoa mkataba tayari ameshahukumu
Hivi umeusoma na kuelewa?Na anaenda na group kubwa wakiongozwa na kajala
NielewesheHivi umeusoma na kuelewa?
In fact kitenge habar zake nyingi hua naSijabishana nawe kaka, tunaeleweshana tu. Kitenge na huyo promota wote binadamu kama sisi. Mimi nakuomba rejea hayo makubaliano ya kimaandishi (mkataba) utaelewa hoka yetu ulipo.
Kitenge amesharipoti habari nyingi tu ambazo hazina ukweli.