Harmonize ameendelea kutudhihirishia kuwa kuna nguvu ya ushawishi mitandaoni imepungua katika muziki wake

Huyo Rayvany, Lavalava, Mbosso na dada yao Queen darleen wasijidanganye kua ni wasanii wakubwa, ukweli ni kwamba wanabebwa na fan base ya Diamond. Wasanii wa WCB nje ya WCB tunawapoteza.

Nampa credit Harmo kaonyesha yeye ni msanii mkubwa hata akiwa nje ya WCB.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu gani umepima ukaona rayvanny au Mboso wakitoka WCB hawawi wasanii wakubwa? Kama issue ya kubebwa na label mbona hata Harmonize kabebwa Sana na label ya WCB
 
Ata Nature inamkataa kabisa angalia apo kwenye Screenshoot yake Mondi katokea uko alikotoka amemshikia Kiuno
 
WCB uchawi, Ulozi, ujanja ujanja , wabeba nyota za watu


Tena Nampa Hongera Kondeboy, angalau nayeye anajitahidi Kuloga ndomaana japo bado anawika wika.

"What is yours will always be yours no matter what "
WCB wanawapenda sana watu kama wewe, haki wakiwaona huwa hadi wanasisimka miili maana wewe ni pesa kubwa sana kwao.😅
 
Ila hizo ni za kwake MWENYEWE...LAVALAVA NA MBOSO NAO WAJITOE KWANZA NDO TUWAWEKE KWENYE MZANI MMOJA....hongera konde keep going.. Vita ni kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama KIBA MSANII WA KAWAIDA kassim mganga na best naso watakuwa ni wapiga debe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…