playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Na ukitaka kujua Kiba si msanii wa kawaida hakuna siku mmekaa mkakosa kumtaja hata kwenye thread zisizo muhusu kama hizi...yaani chukua watoto wa WCB wooooote kabla hata ya MMAKONDE kutoka na baba yao weka ndani afu funga stage hapo ndo utajua kuna MWANAMUZIKI na WAKATA VIUNO.alipotoka mlimvimbisha kua ni mkubwa kuliko mondi nae akaanza kuimba majungu ndipo mashabiki wa wcb wakamkacha, naona saivi hata 1m views anawatafta kwa tochi...
kwa muziki wa sasa platform ndo zinajudge ukubwa wa msanii na sio maneno, na hicho ndo kilichomponza kiba akabaki msanii wakawaida.
WCB hawataki kukubali hili...kwani RAYVAN si alikuwa TIPTOP miaka kibao na hakuna aliyemjua fan base ya WCB ndo inayowabeba na wasije ombea diamond likampata la kumpata Hahahahahahaaaa watapanda sana daladalaHuyo Rayvany, Lavalava, Mbosso na dada yao Queen darleen wasijidanganye kua ni wasanii wakubwa, ukweli ni kwamba wanabebwa na fan base ya Diamond. Wasanii wa WCB nje ya WCB tunawapoteza.
Nampa credit Harmo kaonyesha yeye ni msanii mkubwa hata akiwa nje ya WCB.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbosso alikuwa mkubwa na wanawe kundi lilibebwa na aslay, now WCB kundi linabebwa na diamond, bwana Vanny boy Kasota sana TIPTOP watoke wasimame kama konde tuoneKitu gani umepima ukaona rayvanny au Mboso wakitoka WCB hawawi wasanii wakubwa? Kama issue ya kubebwa na label mbona hata Harmonize kabebwa Sana na label ya WCB
Dogo kala dili sayona ila angekuwa WCB na hiyo asingepata Hahahahaaaa dogo anawanyima sana rahaAta Nature inamkataa kabisa angalia apo kwenye Screenshoot yake Mondi katokea uko alikotoka amemshikia Kiuno
Hizo viewers za WCB siku moja ukweli utajulikana tu bado tupo...wana viewers wengi afu Ubalozi wa sayona kala MMAKONDE raha sana hahahahaaaa.Mbona wenzie wamefika[emoji2]
Alaf yeye ndo alijitapa kutrend wakt wa corona..kesho yake tu akatolewa trending akatulia kama sio yeye alietamba jana yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo viewers za WCB siku moja ukweli utajulikana tu bado tupo...wana viewers wengi afu Ubalozi wa sayona kala MMAKONDE raha sana hahahahaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio fayvan ni Fayvanny
Hata kama.mbona bwana mdogo anajitahid sana kupambana?
Mm binafsi nampa hongera.Tatizo mnampima kwa vipimo vya wcb wakt kwasasa jamaa ni solo musician
Ambacho hujakifikiria ni kwamba harmonize analipwa kwa hilo tangazo kuwekwa hapoDah!! Simba huwezi kumuepuka naona chini ya nyimbo ya harmonize kuna ads (matangazo) ya parimatch yenye picha ya platnumz kijana hatari sana!!
Mtandaoni anatrend hadi kwenye ngoma za watu!!
Ambacho hujakifikiria ni kwamba harmonize analipwa kwa hilo tangazo kuwekwa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukidondoka inachukua muda kusimama. Wengi walitegemea atapotea. Mpeni basi mbosso kaubalozi hata ka gongo washindane vizuri
Ukidondoka inachukua muda kusimama. Wengi walitegemea atapotea. Mpeni basi mbosso kaubalozi hata ka gongo washindane vizuri
Angalau umeanza kujielewa.