Harmonize ameendelea kutudhihirishia kuwa kuna nguvu ya ushawishi mitandaoni imepungua katika muziki wake

Harmonize ameendelea kutudhihirishia kuwa kuna nguvu ya ushawishi mitandaoni imepungua katika muziki wake

alipotoka mlimvimbisha kua ni mkubwa kuliko mondi nae akaanza kuimba majungu ndipo mashabiki wa wcb wakamkacha, naona saivi hata 1m views anawatafta kwa tochi...

kwa muziki wa sasa platform ndo zinajudge ukubwa wa msanii na sio maneno, na hicho ndo kilichomponza kiba akabaki msanii wakawaida.
Na ukitaka kujua Kiba si msanii wa kawaida hakuna siku mmekaa mkakosa kumtaja hata kwenye thread zisizo muhusu kama hizi...yaani chukua watoto wa WCB wooooote kabla hata ya MMAKONDE kutoka na baba yao weka ndani afu funga stage hapo ndo utajua kuna MWANAMUZIKI na WAKATA VIUNO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Rayvany, Lavalava, Mbosso na dada yao Queen darleen wasijidanganye kua ni wasanii wakubwa, ukweli ni kwamba wanabebwa na fan base ya Diamond. Wasanii wa WCB nje ya WCB tunawapoteza.

Nampa credit Harmo kaonyesha yeye ni msanii mkubwa hata akiwa nje ya WCB.

Sent using Jamii Forums mobile app
WCB hawataki kukubali hili...kwani RAYVAN si alikuwa TIPTOP miaka kibao na hakuna aliyemjua fan base ya WCB ndo inayowabeba na wasije ombea diamond likampata la kumpata Hahahahahahaaaa watapanda sana daladala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu gani umepima ukaona rayvanny au Mboso wakitoka WCB hawawi wasanii wakubwa? Kama issue ya kubebwa na label mbona hata Harmonize kabebwa Sana na label ya WCB
Mbosso alikuwa mkubwa na wanawe kundi lilibebwa na aslay, now WCB kundi linabebwa na diamond, bwana Vanny boy Kasota sana TIPTOP watoke wasimame kama konde tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wenzie wamefika[emoji2]
Alaf yeye ndo alijitapa kutrend wakt wa corona..kesho yake tu akatolewa trending akatulia kama sio yeye alietamba jana yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo viewers za WCB siku moja ukweli utajulikana tu bado tupo...wana viewers wengi afu Ubalozi wa sayona kala MMAKONDE raha sana hahahahaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama.mbona bwana mdogo anajitahid sana kupambana?
Mm binafsi nampa hongera.Tatizo mnampima kwa vipimo vya wcb wakt kwasasa jamaa ni solo musician
 
Kutoka kwake WCB mashabiki wake wote amewaacha huko...sasa hivi anatengeneza empire yake kwa hiyo manyumbu wa WCB hawawezi kumsupport..hongera kwake
 
Back
Top Bottom