playboy babu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 2,648
- 1,566
Na ukitaka kujua Kiba si msanii wa kawaida hakuna siku mmekaa mkakosa kumtaja hata kwenye thread zisizo muhusu kama hizi...yaani chukua watoto wa WCB wooooote kabla hata ya MMAKONDE kutoka na baba yao weka ndani afu funga stage hapo ndo utajua kuna MWANAMUZIKI na WAKATA VIUNO.alipotoka mlimvimbisha kua ni mkubwa kuliko mondi nae akaanza kuimba majungu ndipo mashabiki wa wcb wakamkacha, naona saivi hata 1m views anawatafta kwa tochi...
kwa muziki wa sasa platform ndo zinajudge ukubwa wa msanii na sio maneno, na hicho ndo kilichomponza kiba akabaki msanii wakawaida.
Sent using Jamii Forums mobile app