Harmonize amemkubali mtoto wake

Harmonize amemkubali mtoto wake

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Katika Maisha Ukisema ukatae Mtoto Ni kama Vile Laana utaona Mambo yako hayafanikiwi kumbe wewe ndo unamakosaa!!
Naomba Msamaha sana kwa Mchumba wangu #SARAH_TZ Kiukwelii sikujua why nimekukosea kiasi hiki lakini Naamini umenielewa na utanisamehe maana siwezi kataa damu yangu na kwa jitihada zangu zote zimetumika mpaka nikampata naomba pia hata mama wa mtoto anaisamehe sana maana tulizaa naye ndio lakini naona mpaka Aibu sana sana ni mali yangu

1137486
 
Back
Top Bottom