Harmonize amfunikaa vibaya mnooooo Korede Bello kwenye ngoma yao ya Shulala

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Ama kweli WCB ni kisima cha burudani ,huwa hawaaribu kazi hata siku moja kila ngoma wanayotoa ni fireeeeeeeee.

Hii ngoma mpya ya Konde boy ft Korede Bello ijulikanayo kama Shulala ni moto wa kuotea mbali. Haichoshi kuisikiliza pia inachezeka.

Na nimefurahishwa sana na uwezo wa hali ya juu alio uonesha Harmonize yaani amefunika ile mbayaaaaaaaaaa. Wale wazee wa kariakoo watasubiri sana meli airport sisi huku usafini (wcb) tunazidi kuchanja mbuga.
 
kweli kupenda ni upofu
 
Nashindwa kuelewa mkuu hivi kufanya kolabo na msanii yeyote kumbe kuna kushindana???
 
Nawapenda WCB Ila Tatizo ni Melody zinafanana sana kwa wasanii wote....kinachobadilika ni mashairi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…