Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora ungeandika tu ni fayaaaaaa kuliko hivo ulivoandikaAma kweli WCB ni kisima cha burudani ,huwa hawaaribu kazi hata siku moja kila ngoma wanayotoa ni fireeeeeeeee.
Hii ngoma mpya ya Konde boy ft Korede Bello ijulikanayo kama Shulala ni moto wa kuotea mbali. Haichoshi kuisikiliza pia inachezeka.
Na nimefurahishwa sana na uwezo wa hali ya juu alio uonesha Harmonize yaani amefunika ile mbayaaaaaaaaaa. Wale wazee wa kariakoo watasubiri sana meli airport sisi huku usafini (wcb) tunazidi kuchanja mbuga.
Melody, beat na vionjo vya huo wimbo ni hybrid ya nyimbo 2 za Harmonize 'BADO' na 'HAPPY BIRTHDAY'Mi hua siwaelewi watu wanaoshabikia nyimbo za wcb....nyimbo zote zinafanana melody yani ikianza tu na matarumbeta yao tayari ishachosha kusikiliza, kila kitu vilevile tofauti maneno tu. nimeusikiliza huo wimbo nao unaangukia humo humo...hakuna ubunifu hapo studio kwao.