Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ama kweli WCB ni kisima cha burudani ,huwa hawaaribu kazi hata siku moja kila ngoma wanayotoa ni fireeeeeeeee.
Hii ngoma mpya ya Konde boy ft Korede Bello ijulikanayo kama Shulala ni moto wa kuotea mbali. Haichoshi kuisikiliza pia inachezeka.
Na nimefurahishwa sana na uwezo wa hali ya juu alio uonesha Harmonize yaani amefunika ile mbayaaaaaaaaaa. Wale wazee wa kariakoo watasubiri sana meli airport sisi huku usafini (wcb) tunazidi kuchanja mbuga.