Harmonize amfunikaa vibaya mnooooo Korede Bello kwenye ngoma yao ya Shulala

Vipi bundi aliyetua WCB 'Lavalava' anaendeleaje?
 
Wimbo mkali kweli ila hizo sifa zako za kitoto sana, we sema hujaelewa alichoimba korede bello ndomana unasema kafunikwa. Enjoy na lugha yetu mzee
 
bora ungeandika tu ni fayaaaaaa kuliko hivo ulivoandika
 
Mi hua siwaelewi watu wanaoshabikia nyimbo za wcb....nyimbo zote zinafanana melody yani ikianza tu na matarumbeta yao tayari ishachosha kusikiliza, kila kitu vilevile tofauti maneno tu. nimeusikiliza huo wimbo nao unaangukia humo humo...hakuna ubunifu hapo studio kwao.
 
Melody, beat na vionjo vya huo wimbo ni hybrid ya nyimbo 2 za Harmonize 'BADO' na 'HAPPY BIRTHDAY'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…