Harmonize Amgawia Q Chief Gari

Harmonize Amgawia Q Chief Gari

Nikikupa mwekundu leo utaniona wa maana sana lakini kesho utanikumbuka tena nikupe ila nikikupa nyenzo ya kukupatia mwekundu kila siku hiyo ni zaidi ya kutoa
Hata hyo ni nyenzo mkuu...anaweza lifanya hata lakubebea abiria,maeneo mengi ya ndani ndani dar..hizo ndio daladala na vijana wanaleta hesabu nzuri tu
 
Back
Top Bottom