Harmonize Amgawia Q Chief Gari

Harmonize Amgawia Q Chief Gari

Dai tunajua maisha yake na mama yake na familia yake (tukimtoa baba yake) je, Harmonise na yeye familia yake yote mambo safi??

Just asking out of curiousity

Alafu mdg ukute anatembela baskeli nadhani ye ni mgeni rasmi ila kuna mdau asiyetaka kuonekana katoa msaada baadae tutajua hizi maisha
 
Hata madem Zake Q-chief watamdharau Maana wakiiona tu wanajua Msaada.. Angempa Kimya kimyaaa
Inategemeana na mademu wa aina gani alionayo.Q Chief mademu wake ni aina ya wale wapanda Bodaboda manake hakuwa na gari.Mademu wa aina hiyo wakiona gari wanapagawa,haijalishi hiyo gari umeipataje,aina gani au ina hali gani!
 
Wangapi wanaoishi Dar wana magari lakini hawana nyumba?

Wametafuta wenyewe so njia ya kutafuta hela ili wajenge baadae unakuta mtu changamoto ni usafiri sasa chillah ni mgonjwa wa unga ndugu yng afanyi kazi ya mziki kwa uhakika ingawa ni msanii mwenye uwezo mkubwa sana na ana stress nyingi kwa maisha gari zuri mwanzo mwisho wake mbaya sijasema gari sio muhimu kwa chilla ila kwa sasa msaada kumtoa kwenye tatizo la unga then vingine vifate
 
gari imeenda age,,
povu ruksa,,,,,,
Funzo kubwa la watu kujifunza ni, tumia nafasi na muda vizuri maana Golden Chance never come twice but opportunity does.

Pili, maisha hayana bingwa hivo hakuna ajuaye kesho yake. Ishi na watu vzr.

Inafikirisha sana, yaani Harmonize leo hii ni wa kumpatia Q Chief gari!? Dah, kweli maisha ni zaidi ya darasa
 
Ukitaka kumfanya mtu awe maskini zaidi ya alivyo kuwa mwanza mpe gari ya starehe.... Badala ya kumpa nyenzo yeye anazidi kumfanya maskini zaidi
 
Back
Top Bottom