Harmonize amrushia kijembe Mwarabu Fighter

Wenzako wanapanga kiki kalaghabaho unazani kijembe
 
Mbona huyo mmakonde anafanya promo ya show hiyo tarehe 13/05? Pia Mwarabu Naye kaanza kufanya promo kampuni yake ya ulinzi baada ya mange tu kuachia udaku,hapa naona Mange Kaingizwa Choo cha kiume na mtu wa WCB ili wafanyiwe Promo za burebure...
 
Ila Sarah akienda kwa Mwarabu Harmonize ataharibika sana kisaikolojia,ila ndo hivo wasanii hawachelewi kupata watoto vikali
 
Mwarabu Fighter naye kavaa mlegezo? Kweli WCB si mchezo.
 
Mbona kama hakumaanisha kua mbaya ila alimaanisha hawezi kumgusa maana hata kucheka shida ila kwa Mbosso angeweza sababu ana mmudu.

Ubuyu wako umekosa aidha pilipili au sukari... lol
Uko sahihi kabisa,
Hamornize kamaanisha jamaa ni hatari maana yuko kaksi sana hivyo hata kumzingua hawezi.
 
Sarah aache umalaya, araisambaratisha WCB. Harmonies rudi kwa Wolper au kaa kimya usianze vijembe vya kike.
acha utoto ayo ayawezi yakatokea ..mnamusikiliza sana yule malaya kimango
 
Kw
kwani sura ya hiyo harmonize na huyo mwarabu fighter mbona zote mbovu tu kama huyo demu kama angekuwa anaangalia sura wote hao wangemkosa!
 
Kijembe hapo ni kwamba jamaa ana sura mbovu sana
Mbovu kuliko ya harmonize? Harmo hana mvuto wowote ule. Angalau na hiyo sura yake mbaya japo angekuwa hata na height au hata chest ya kumuweka mwanamke kifuani. MI ukiniambia nichangue, nitaenda kwa fighter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…