Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa gizaWenzako wanapanga kiki kalaghabaho unazani kijembe
Tabia ya wazungu naona kifua cha huyo mbeba vyuma kishampawisha tayari [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sarah aache umalaya, araisambaratisha WCB. Harmonies rudi kwa Wolper au kaa kimya usianze vijembe vya kike.
Msanii wa Bongoleva ukitoa singo moja ikapigwa clouds TV lazima uopoe shombeshombe.Ila Sarah akienda kwa Mwarabu Harmonize ataharibika sana kisaikolojia,ila ndo hivo wasanii hawachelewi kupata watoto vikali
Clouds zilipendwa, Wasafi TV ndio mpango mzimaMsanii wa Bongoleva ukitoa singo moja ikapigwa clouds TV lazima uopoe shombeshombe.
Tangia wcb iwepo mpaka sasa sio chin ya mademu 100 ambao wameshaliwa nakutupwa.
Uko sahihi kabisa,Mbona kama hakumaanisha kua mbaya ila alimaanisha hawezi kumgusa maana hata kucheka shida ila kwa Mbosso angeweza sababu ana mmudu.
Ubuyu wako umekosa aidha pilipili au sukari... lol
acha utoto ayo ayawezi yakatokea ..mnamusikiliza sana yule malaya kimangoSarah aache umalaya, araisambaratisha WCB. Harmonies rudi kwa Wolper au kaa kimya usianze vijembe vya kike.
Jamany mwarab wng nmekumisHahahaaaa tusio na instagram tunapitwa na mengi
kwani sura ya hiyo harmonize na huyo mwarabu fighter mbona zote mbovu tu kama huyo demu kama angekuwa anaangalia sura wote hao wangemkosa!Mambo yanazidi kutokota kila kukicha. Mara baada ya doto wa diamond platnums (Harmonize/Kondeboy) kusikia demu wake anagawa utamu kwa bodyguard wa diamond platnums, Harmonize amemdhalilisha vibaya sana Mwarabu fighter kwa kumnanga kwamba jamaa hana mvuto wa kimapenzi pia hayupo romantic na vile vile haja jaaliwa sura na hana swaga ambazo zinaweza zikamshawishi Sarah ahamishe majeshi kutoka kwake(Harmonize) kupeleka kwa huyo mbeba vyuma aliyekakamaa kama mti mkavu na amepauka kama kau kau.
Harmonize amedai kuwa jamaa hata kucheka tu hajui akicheka anakuwa kama kituko au kama yale manyani dume(Genda heka).
View attachment 767916
Acha waliwe tu mkuuTangia wcb iwepo mpaka sasa sio chin ya mademu 100 ambao wameshaliwa nakutupwa.
Mbovu kuliko ya harmonize? Harmo hana mvuto wowote ule. Angalau na hiyo sura yake mbaya japo angekuwa hata na height au hata chest ya kumuweka mwanamke kifuani. MI ukiniambia nichangue, nitaenda kwa fighterKijembe hapo ni kwamba jamaa ana sura mbovu sana