Harmonize amsaini Country Boy Kondegang

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Kijana anazidi kuchanja mbuga kwa spidi ya light, anasajili kila siku kama Chelsea.
harmonize leo kupitia mkutano na waandishi wa habari amemtangaza msanii mpya ndani ya label yake ya kondegang country boy ambapo anatarajiwa kuachia nyimbo 7 siku ya leo.

Sambamba na hilo harmonize amewakabidhi gari ibrah na msanii mpya country boy.

Mpaka sasa label hiyo ina wasanii sita wakiwa wamebaki wanne tu kukamilisha timu ya mpira wa miguu ikiwa na umri chini ya mwaka mmoja (kama ni mtoto mchanga bado ananyonya)

We wish you all the best kijana wetu katika adhma yako ya kusaidia vijana wenzako. Tunaamini haujakurupuka na unajua kile unacho fanya.
 
Najiuliza hivi hawa wasanii wangekuwa wamechukuliwa na WCB,humu pange chafuka threads zingekuwa 100 nakutabiri "wanaenda kudhulumiwa".

Naona ndugu yangu Robidinyo sijui hana habari au ameamua kukaa kimya.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Ngojea tuwape muda,siku zote muda huwa unaongea.Nampa pole Kiba kwa kufanya kazi ya Kanisa mpaka kuiconvert label na sasa mwenyewe anaiita College.

kuwekeza kwa wanamziki wa bongo kazi sito shangaa hao watoto waki mgeuka Konde.
 
We Ni Wale Watu Wasiopenda Maendeleo Ya Watu , Kwa Upande Wangu Harmonize Naona Kafanya Poa , Muziki Unaitaji Vitu Vingi Na Usifikiri Kipaji Tuu
 
Shikamoo harmonize...
 
Mmmh mbona imekuwa kasi sana watawamudu wote hao. Ukizingatia lebel bado changa. Au ndio ilimradi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…