crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Kijana anazidi kuchanja mbuga kwa spidi ya light, anasajili kila siku kama Chelsea.
harmonize leo kupitia mkutano na waandishi wa habari amemtangaza msanii mpya ndani ya label yake ya kondegang country boy ambapo anatarajiwa kuachia nyimbo 7 siku ya leo.
Sambamba na hilo harmonize amewakabidhi gari ibrah na msanii mpya country boy.
Mpaka sasa label hiyo ina wasanii sita wakiwa wamebaki wanne tu kukamilisha timu ya mpira wa miguu ikiwa na umri chini ya mwaka mmoja (kama ni mtoto mchanga bado ananyonya)
We wish you all the best kijana wetu katika adhma yako ya kusaidia vijana wenzako. Tunaamini haujakurupuka na unajua kile unacho fanya.