Harmonize amsaini Country Boy Kondegang

Me nlikua nnadhan angempeleka kwanza ibra akae mkao
Kisha hao alio wa sign juzi waje
Ndio aje na mzee wa turn up country boy
Sijui lakini
 
Eti countryboy kasajiliwa na konde.. maisha haya dah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nmebak tu kucheka

Nasubir kuona qchila akiliongelea hili
 
Mwenye Ule Wimbo wa Mtoto Idd kazua balaa anitumie😀
 
Country Boy bora angeendelea kupiga nyimbo zake nje.
Akienda uko atapata umaarufu zaidi kwa siku kadhaa maybe miezi 6 hafu atadrop mazima kwenye ramani atapotea.
Kama wadau wanavosema itamtokea ya Mavoko. Mavoko alipoenda WCB alipanda juu sana ila alipotoka amedrop maradufu bora ata before ajasign.
 
Niwe mkweli harmonize ana nia nzuri
Ila hao kina country boy wamefata hela then wansepa..

Kumanage msanii wa kibongo kazi sana
 
Unawekeza unconditionally au kunakuwa na written Contract? Kama ni unconditionally, basi hutakiwi kuja kutoa povu lolote siku wakisema basi. Ila kama kuna mkataba, basi terms zitaongea. Harmonise, anaelewa katoka WCB, lakini he paid some good money. So, kuwachukua hawa vijana naamini atakuwa amejifunza how to ran business from WCB.
 
Madogo wanasaini hizo label kwa hisia tu, ila wakisha enda kuona yaliyomo watakimbia na ndio itakuwa vifo vyao kisanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…