Ukifuata hizi comments za humu zitaku pumbaza hali jinsi ilivyo humu na huko uraiani iko tofauti sana tena sanaHivi Konde boy kawakosea nini wanazengo wa JF?
Sasa anaenda kwenye watu, nilazima wamfuate aende ambapo hamna mikusanyiko ndo ataelewa shoooo.Ukifuata hizi comments za humu zitaku pumbaza hali jinsi ilivyo humu na huko uraiani iko tofauti sana tena sana
Kuna watu humu huwa wanasema kuwa konde ameisha keshafulia ..lakini huko mitaani bado anakubalika sana ..majuzi kati nilitazama clip yake 1 hivi alikuwa yupo. Saba saba aisee " ni hatari
Kwa wajumbeUnafiki unakufikisha wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣Habari ya kusikitisha skales ni sawa na baraka da prince alie changamka
SUBIRI KIDOGO
Hakuna chuki hapo Ebu angalia kwanza hoja niliyotoa Ni uongo au ukweli? kabla ujakimbilia kujifichia kwenye kichaka Cha kusema "chuki"Hivi Konde boy kawakosea nini wanazengo wa JF?
Tutakutana kwenye kikao chetu kule usiku wa manane, kuna jambo la kuzungumzaKwa wajumbe
Kule Nina likizo ya muda..tuonane mwezi August tarehe za katikatiTutakutana kwenye kikao chetu kule usiku wa manane, kuna jambo la kuzungumza
Wewe hapo umemsain nani zaid ya kulamba miguu ya mondi ili ule otherwise utalala njaa .Jamaa sijui anawaza kwa kutumia Nini?huyo msanii ibra kashindwa kumsimamisha vizuri kwenye soko la hapa home Hadi sasa hiv ajulikani mbinguni Wala duniani 🤣😂 bado haitoshi anaongeza msanii mpya duh!
Scales ,skales au young skales?Scales au skales?
Nani kakutorosha nani anakuficha hivyoKule Nina likizo ya muda..tuonane mwezi August tarehe za katikati
Ni katika kujitangaza tu ukanda huu wa EAfrica, kaona mbali ila snitches wa kibonge hawawezi ona hiloHaina maana Konde gang watasimamia kazi zake Nigeria na kwingine. Mwenyewe anasema Konde wanakua management yake "East Afrika."
Kwa maana nyingine anaweza kua na management nyingine South Africa, Asia, Europe......
Ila ni hatua kubwa sana kwa team Konde.View attachment 1523259
Hahaa hizi chuki sasa .. Msanii gani akienda sehemu ambayo haina watu " halafu watu watamfuata ...!?? Yaani bidhaa ipelekwe porini then ipate soko!? Eehh maajabu hayaSasa anaenda kwenye watu, nilazima wamfuate aende ambapo hamna mikusanyiko ndo ataelewa shoooo.
Naona una mapenzi ya dhati Sana na harmonize kwani hapo nilichozungumza ni uongo?Wewe hapo umemsain nani zaid ya kulamba miguu ya mondi ili ule otherwise utalala njaa .
Tafuta kazi kijana
Ujanielewa, namaanisha kwanini anavizia sehemu zenye watu Kama uwanjani kwenye mechi au Saba Saba na pia anangojea nanenae aende daaah[emoji85][emoji85][emoji85]Hahaa hizi chuki sasa .. Msanii gani akienda sehemu ambayo haina watu " halafu watu watamfuata ...!?? Yaani bidhaa ipelekwe porini then ipate soko!? Eehh maajabu haya
Mkuu jamaa siku ile hakwenda Saba Saba kutembea bila sababu ... Alikwenda Saba Saba kama balozi wa CRDB akaingia katika banda la CRDB akafanya kilicho mpeleka baada ya hapo ndio ikawa hivyoUjanielewa, namaanisha kwanini anavizia sehemu zenye watu Kama uwanjani kwenye mechi au Saba Saba na pia anangojea nanenae aende daaah[emoji85][emoji85][emoji85]