Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
So tumekubaliaba kuwa watu wakio kuwa sabasaba ndo aliwashobokea, but sio walienda kwa ajili yake but maonyesho ya sabasaba.?Mkuu jamaa siku ile hakwenda Saba Saba kutembea bila sababu ... Alikwenda Saba Saba kama balozi wa CRDB akaingia katika banda la CRDB akafanya kilicho mpeleka baada ya hapo ndio ikawa hivyo