Harmonize amsaini Scales kutoka Nigeria

Harmonize amsaini Scales kutoka Nigeria

Mkuu jamaa siku ile hakwenda Saba Saba kutembea bila sababu ... Alikwenda Saba Saba kama balozi wa CRDB akaingia katika banda la CRDB akafanya kilicho mpeleka baada ya hapo ndio ikawa hivyo
So tumekubaliaba kuwa watu wakio kuwa sabasaba ndo aliwashobokea, but sio walienda kwa ajili yake but maonyesho ya sabasaba.?
 
Naona una mapenzi ya dhati Sana na harmonize kwani hapo nilichozungumza ni uongo?
Wewe unaejua mpk mondi anavaa chupi gani Leo na kanunua nguo wapi..

Tukuiteje mkewe ama ? Naskia ndo unaziba pengo la Tanasha eti aunty
IMG_20200730_102906.jpg
 
Tobaaaaaaah skales yupi? Huyu wa shake body na lo-le? Au
Mie sijaelewa bado
 
Back
Top Bottom