Harmonize amsaini Scales kutoka Nigeria

Harmonize amsaini Scales kutoka Nigeria

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
CEO wa kondegang harmonize amemsaini msanii scales kutoka nchini Nigeria katika label yake ya konde music worldwide.

Source; harmonize Instagram page

1596451354436.png
 
Jamaa sijui anawaza kwa kutumia Nini?huyo msanii ibra kashindwa kumsimamisha vizuri kwenye soko la hapa home Hadi sasa hiv ajulikani mbinguni Wala duniani 🤣😂 bado haitoshi anaongeza msanii mpya duh!
 
Habari ya kusikitisha skales ni sawa na baraka da prince alie changamka

SUBIRI KIDOGO
 
Back
Top Bottom