Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Oyaa nenda Pm acha kuzuga huku ...acha tuendelee ku focus na mada mezani[emoji3059]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaa nenda Pm acha kuzuga huku ...acha tuendelee ku focus na mada mezani[emoji3059]
hamna kitu hapo,Kiumri ninaweza kuwa nimekuzidi so unatakiwa uwe na heshima kwa wakubwa wako
Dah! Jamaa sjui yukoje kitu kidogo Kama hicho anapaniki je ningemgonga mke wake ingekuaje?Huyo jamaa ni mdwanzi tu, akikukwaza yeye ndio anaenjoy. Inawezekana akawa mtoto wa watu.
Inanisikitisha Sana kuona kijana unajiifanya kunijua kuliko ninavyojijua Mimihamna kitu hapo,
mtu mwenye umri mkubwa hawezi fanya biashara kichaa ya kubadili ID kila siku.
🤣 🤣 🤣Inanisikitisha Sana kuona kijana unajiifanya kunijua kuliko ninavyojijua Mimi
LegendaryOyaa nenda Pm acha kuzuga huku ...acha tuendelee ku focus na mada mezani
Anacheza na akili za wajinga,Dogo ni mnafiki sana yule, sana.
Yaani umetoa ngoma mbili ndani mfululizo za kumtukana mtu, tena moja haijamaliza hata wiki eti Leo unaomba msamaha
Wewe innocent independent ukiombwa chochote na Chibu Domo utakataaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣Dah! Jamaa sjui yukoje kitu kidogo Kama hicho anapaniki je ningemgonga mke wake ingekuaje?
Kuna mwingine pia Nimeona kaitwa huyo innocent Sasa hao innocent watakuwa wangapi?Wewe innocent independent ukiombwa chochote na Chibu Domo utakataaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaha huhuhuhu hahahaha