Harmonize amshukuru Diamond

Harmonize amshukuru Diamond

Huyo jamaa ni mdwanzi tu, akikukwaza yeye ndio anaenjoy. Inawezekana akawa mtoto wa watu.
Dah! Jamaa sjui yukoje kitu kidogo Kama hicho anapaniki je ningemgonga mke wake ingekuaje?
 
Kijana alitoka Wasafi kwa jeuri mno kwakuwa mke wake Sarah alikuwa na uwezo kifedha akasahau walipotoka na diamond ila hivi sasa ameanza kushuka kwakuwa ameachwa na mke wake ndio anajidai kujipendekeza! Nyimbo anazoimba hazieleweki,show za kimataifa hakuna,collaboration na wasanii wakubwa hakuna,tuzo hakuna ndio anakumbuka nyumbani.Nyambaaaaf
 
Ata asipo sema mbona inafahamika kwamba Simba ndo aliemtoa Harmo kwenye shimo la choo,kisha akampa sehemu ya ufalme.
Yeye afanye yake,aendelee kuweka sura ya Mondi na kumpa vijembe kwenye video zake uwenda ikampa umaarufu zaidi.
 
Dogo ni mnafiki sana yule, sana.

Yaani umetoa ngoma mbili ndani mfululizo za kumtukana mtu, tena moja haijamaliza hata wiki eti Leo unaomba msamaha
Anacheza na akili za wajinga,
Kifupi hiyo barua yake kwa domo ni wajinga na wapuuzi tu ndio wataiona ina maana,

Katoka kumkanyagia mwenzake alafu anajifanya muungwana ili domo akimjibu ionekane mkosaji ni domo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] alafu yeye ndio alianza kumwita mwenzio simba zee mshamba hahahaa yeye kuitwa kibonge tu kamaind hahahaaj

Huyu Nchumali ana akili mbovu sana.
 
"njomba nchumali kachinja mang'ombe anizidi kwa kiti, cha ajabu kazidi ubonge ila kwenye muzikii, BADO SANAAAA"

hili dongo mmakonde imebid awe mpole tuu

Diamond noma sana huyu dogo,,
 
Dah! Jamaa sjui yukoje kitu kidogo Kama hicho anapaniki je ningemgonga mke wake ingekuaje?
Wewe innocent independent ukiombwa chochote na Chibu Domo utakataaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣

Hahahaha huhuhuhu hahahaha
 
Wewe innocent independent ukiombwa chochote na Chibu Domo utakataaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣

Hahahaha huhuhuhu hahahaha
Kuna mwingine pia Nimeona kaitwa huyo innocent Sasa hao innocent watakuwa wangapi?
 
This English is very Normal..

Hii English ya Kawaida sana..
 
Back
Top Bottom