Harmonize amtumia Diamond Platinumz ujumbe wa mwaka mpya kuhusu umuhimu wa wazazi

Kwa hapa namtetea domo, jamaa kapata alichokitafuta. Unatelekeza mtoto usitegemee malipo mazuri mbeleni.

Domo kasota sana na mama yake, walikonda haooo mpaka mishipa ya shingo unaiona walikua weusi tii. Leo kapata hela jamaa anajitokeza kutaka shea sawa na mama mtu neeehiiii
 
Mondi a.k.a Domo anampenda zaidi baba wa kambo anko Shamte labda alimsaidia pesa za kwenda Studio kurekodi sasa analipa labda analipa fadhira
 
Mkuu we hujui tu mfano dingi yako anakula maisha we uko kwenye msoto unazani ukitusua utamjali
Unaamua kumsaidia kijana anae mkaza mama ako hiyo akili matope?
 
Kuzalisha ni raha sio kazi; hata panya anazalisha, kazi ni kulea!!! Kama wakati wa kulea uliingia Chaka halafu unaona mambo yamejipa ndio unajisogeza!!!! Hata Mungu ataona huruma laana yake haikupati!!
Mashabiki wa diamond hebu jichangeni hata jero-jero huyu baba wa star wenu apate matibabu ya upesi kabla hajakatwa miguu.
 
Kama na yeye alimtelekeza hamna namna acha aisome namba
Kuna kitu mnakosea sana nyie bendera fuata upepo, huyo baba yake asingekuwa na huyo mama yake angezaliwa?
 
Angekuwa baba yake asingemtelekeza!!! Mama yake ndio anayejua baba yake ni nani!
Sawa bulesi naelewa changamoto mnazopitia single maza.

Hebu toa japo jero kumsaidia huyu mzee japo apate bima ya afya atibiwe miguu.
 
Mashabiki wa Diamond wako upande wa Diamond, nao wamemsusa.
Mashabiki wa diamond hebu jichangeni hata jero-jero huyu baba wa star wenu apate matibabu ya upesi kabla hajakatwa miguu.
 
Naona hii video atamtafuta Mzee Abdul rapper, kama alifofanya ktk ushamba kumweka Diamond rapper
 
Kuna kitu mnakosea sana nyie bendera fuata upepo,huyo baba yake asingekuwa na huyo mama yake angezaliwa?
haitoshi mzee, kuna kitu inaitwa bonding, usipokuwa nayo na watoto wako ujue umeshakula hasara.
 
Hivi ikitokea huyu mzee katangulia mbele za haki kweli Diamond na mama yako watakwenda msibani? na akipewa maiki atasema nini?
 
Kutolomba haitoshi mzee, kuna kitu inaitwa bonding, usipokuwa nayo na watoto wako ujue umeshakula hasara.
kwa hyo kwakuwa hakuna bond ndio aachwe ateseke? au anasubiri akifa ndio amuhudumie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…