Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuto kumsaidia kuna maansha nn?Kwani amemkataa baba yake?
Mzazi ni mzazi hata akosee vipi,Acha mkuu baba hawezi kuwa baba tu tuseme ana kazi na mshahara yeye ni pombe na mademu we ukitoboaa utamuona kama baba
Mungu anawafunza wanaume practically...baba di Ni funzo kwa wengineDiamond amelishwa sumu mbaya sana na mama yake.
Andiko lazma litimie...huwezi zaa ukatelekeza. Mim shanazi mtu mbona nalea WATOTO wa njee wa ndugu zangu bcs staki watelekezekeMzazi ni mzazi hata akosee vipi,
Ndo maan kuna msemo "mzazi hakosei"
Huyu Diamond ajitathimini sana kwenye hili.
Mzazi ni mzazi hata akosee vipi,
Ndo maan kuna msemo "mzazi hakosei"
Huyu Diamond ajitathimini sana kwenye hili.
Atakuwa amwambia Anko Shamte ndio babake yan biological father right ?
Pesa zenyewe zipi mtu mwenyewe masikini tu, angekuwa ana hela labda.Huyo mdingi inabidi arudi kule alikotumia pesa zake labda watamrudishia chenji, aache kuleta ukuda wakati watu wanakula bata zao ambazo hazimuhusu.
Mpumbavu... Hivi baba di kasema wapi ana shida..Wasalaam wana jamvi
Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021
Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa.
namnukuu anasema
"Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia
Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote"
Wapo Lyrics – Harmonize
(B Boy) Eeh
Mmmh mmh
Hivi kwanini nijitutumue
Na dunia sio makazi
Vijineno neno vinisumbue
Hadi nishindwe kazi
Mama alisema mkuku kwa nguruwe
Kuishi na watu kazi
Achambe atukane ata aniue
Nishasamehe mzani ni mzazi
Kifupi nafunika kombe
Nikiamini kesho nayo siku
Mapicha picha mapicha
Sidhani kama nitapona
Wanangu wa mtaani mniombee
Hii vita ni mchana na usiku
Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao
Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi
Uniamshe alfajiri
Kama jana na juzi
Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo
Watakuita mwanga kibonge
Tena kwa dharau wakucheke
Wanachotaka we uongee
Waseme shukrani ya punda mateke
Kama vipi dem wake tumgongee
Ndiye anayempiga chura teke
Usipoonewa ndonge
Basi ndo ujue hauna makeke
Sikia Konde kwepa bana mjini shule
Ukipata kidogo leta na nao tule
Wachana nao wamesemaga umezoea vya bure
Maana siku zote nyani halioni kundule
Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia
Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa kiume analialia
Bila msaada wowote
Oooh kuna watu na viatu
Wanatamani milele wawe wao
Ukijituma watasema
Unashinda nao
Oooh ni kama watu kumbe
Ndani wana roho za chatu
Hawatosheki na vikubwa vyao
Wanatamani hata kidogo chako kiwe chao
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze miluzi
Kupata kukosa ni siri
Nawe ndo Mungu baba mwamuzi
Dear Lord, wapo
Iyeiye iye, wapo
Japo ni ngumu kuwaona, wapo
Wapo wasotaka ufanikiwe
Binadamu hawana jeru, wapo
Kila utachofanya watasema, wapo
Wapo wasotaka ubarikiwe
Dear Lord
“Special message to the Youth”
It’s your time now to follow your dreams
No matter what people say stay humble
Stay positive, follow your dream
Believe in God, ease your mind
Ease your mind for Lord
(The Most Wanted Mix)
wasalaam wana jamvi
Mmmmmh sasa yeye anaona raha mzazi wa kiume kuhangaika vile mmmmh. Inashangaza sana lolAndiko lazma litimie...huwezi zaa ukatelekeza. Mim shanazi mtu mbona nalea WATOTO wa njee wa ndugu zangu bcs staki watelekezeke
Msamaha pia n jambo la kheri. Mzazi huwa hakosei kwa mtoto.Huyo mdingi inabidi arudi kule alikotumia pesa zake labda watamrudishia chenji, aache kuleta ukuda wakati watu wanakula bata zao ambazo hazimuhusu.