Harmonize amtumia Diamond Platinumz ujumbe wa mwaka mpya kuhusu umuhimu wa wazazi

Acha mkuu baba hawezi kuwa baba tu tuseme ana kazi na mshahara yeye ni pombe na mademu we ukitoboaa utamuona kama baba
Mzazi ni mzazi hata akosee vipi,
Ndo maan kuna msemo "mzazi hakosei"
Huyu Diamond ajitathimini sana kwenye hili.
 
Mzazi ni mzazi hata akosee vipi,
Ndo maan kuna msemo "mzazi hakosei"
Huyu Diamond ajitathimini sana kwenye hili.
Andiko lazma litimie...huwezi zaa ukatelekeza. Mim shanazi mtu mbona nalea WATOTO wa njee wa ndugu zangu bcs staki watelekezeke
 
Mzazi ni mzazi hata akosee vipi,
Ndo maan kuna msemo "mzazi hakosei"
Huyu Diamond ajitathimini sana kwenye hili.

Huyo mdingi inabidi arudi kule alikotumia pesa zake labda watamrudishia chenji, aache kuleta ukuda wakati watu wanakula bata zao ambazo hazimuhusu.
 
Huyo mdingi inabidi arudi kule alikotumia pesa zake labda watamrudishia chenji, aache kuleta ukuda wakati watu wanakula bata zao ambazo hazimuhusu.
Pesa zenyewe zipi mtu mwenyewe masikini tu, angekuwa ana hela labda.
 
Mpumbavu... Hivi baba di kasema wapi ana shida..

Kashagundua ili ale. Lazima amtaje mondi.. Upumbavu..
 
Andiko lazma litimie...huwezi zaa ukatelekeza. Mim shanazi mtu mbona nalea WATOTO wa njee wa ndugu zangu bcs staki watelekezeke
Mmmmmh sasa yeye anaona raha mzazi wa kiume kuhangaika vile mmmmh. Inashangaza sana lol
 
Huyo mdingi inabidi arudi kule alikotumia pesa zake labda watamrudishia chenji, aache kuleta ukuda wakati watu wanakula bata zao ambazo hazimuhusu.
Msamaha pia n jambo la kheri. Mzazi huwa hakosei kwa mtoto.
 
huyu jamaa anamuwaza sana diamond si aendelee na maisha yake hajazaliwa nae eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…