Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

Harmonize amvisha Pete ya uchumba Kajala

Kwani ndo mara ya kwanza kuolewa? Kulia huwa ni unafki tu kwani huwa hawajui kinachofanyika na unakuta maandalizi wameyafanya wote.....sema mmakonde ndo haamini kapata mwanamke wa kuvumilia lile dude (kama issue iko serious lakini) Evelyn Salt
Hilo dude uliliona?
 
Hallelujah!! Hayawi Hayawi sasa yanekuaaa [emoji6] Love is a beautiful thing hasa ukipata mtu umpendae na yeye akakupenda [emoji7] leo hii jioni Harmonize amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi Kajala Masanja.

Inasemekana Pete hio imegharimu bilioni 10 za kitanzania. Pete hiyo imenunuliwa nchini uturuki kwa kina ertugru [emoji16]

Wamependeza sana na wenye wivu wajinyonge [emoji12] Kwa sasa hii ndo kapo namba moja inayokubalika na yenye ushawishi mkubwa Tanzania na East Africa. Tunawatakia maisha mema na ya furaha tele...[emoji3578]

Picha na video chini ni bwana Harmonize akiwa na mchumba wake Kajala wakati wa tukio zima la uvishwaji pete. View attachment 2271917
View attachment 2271918
View attachment 2271919
View attachment 2272018
Pete 10bn halafu bibi kavaa vitambaa vya pazia
 
Mabilionea wanahesabika sjawai msikia harmonise asa iyo 10b inaingiaje apo.....kajala sio wa kukaa kwenye ndoa wananzengo tunajua
Mmakonde anatafuta kutrend hajui huyu mama ni mla mbolea kitambo
 
Kijana anapenda old stone version
Ukishazoea kuyala ma-MILF......hakuna kitu utaona vigori wanafanya hata upewe bikra.
MILF,hawafichi nyege zao,yaani hata shambani unaweza mla,akiwa na hamu atakiambia,halafu MILF hata akasirike vipi hakunyimi utamu[emoji39][emoji39].
Kingine nyege zao zipo juu sana,yaani daaaah
 
Mmakonde anatafuta kutrend hajui huyu mama ni mla mbolea kitambo
Sasa uyo dada atakubali kuyaishi maisha ya ndoa eti awe mama wa watoto wa mtu awalee ktk maadili kama wamama wengine alivyo hivyo! Mtu anafanywa na libol*o ambalo tayari lishamfanya binti yake! Maana msg alizovujisha wakati ule kuna mahali nliona kwa uelewa wangu ni kama alikuwa anamshawishi waendelee asimuogope mama
 
Kila la heri kwao.
Ila imekuwa ghafla sana hii au kwangu tu!!
 
Back
Top Bottom