Harmonize amwaga list ya vidume waliompitia Wolper; Shamsa ang'aka mumewe kutajwa

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Siku chache baada ya Wolper kutamka kuwa Sara demu mzungu wa Konde boy ni mlezi wa wana,hii imekuna kufuatia uwepo wa tetesi za mzungu huyo kushare maumbile na Baunsa Mwarabu fighter, Hatimaye Harmonize aamua kutaja first eleven ya njemba zilizosuuza rungu kwa Jack....akiwemo Chibu Dangote na Jux Juma,Makochali,Chidi Mapenzi etc....[HASHTAG]#UkiachwaAchika[/HASHTAG] hii vita itawaathiri hata wasiohusika


Shamsa Ford akasirika mumewe Bw. Chidi Mapenzi kutajwa
 
Jamani wanaume wa mkoani nawapenda sana,hawa wa dar aibu naona mie.
Nawaza kwani wolper si alikuaga na wanaume wengi sana why drama na konde boy?
halafu konde boy na yeye aache ushamba atulie na zezeru wa kizungu
 
Njomba nchumali amekosea sana na amewakosea alio wataja...hii si njia nzuri anayo paswa kutumia mwanaume kulumbana na mwanamke....
Hii njia inaweza mgombanisha Harmonize na alio wataja....
Kwakweli kati ya jambo ambalo anatakiwa kuwa makini nalo mwanaume ni jinsi ya kulumbana na mwanamke...

Harmonize amekosea na sasa yeye ndio ameonesha si mwanaume kamili wa kimakonde mwenye chale na aliye kwenda unayagoni maana amedhihirisha hana kifua kabisa...
Kwa kweli Harmonize amejidhalilisha na kuwadhalilisha alio wataja labda kama alipata ridhaa yao.
Hakuna ambaye alikuwa hajui hiyo list tena kuna watu kawasahau lakini katika hili Harmonize ameonekana ni mjinga sana...
Njia pekee mwanaume anaweza kutumia kulumbana na mwanamke ni kukaa kimya...
 
Jamani wanaume wa mkoani nawapenda sana,hawa wa dar aibu naona mie.
Nawaza kwani wolper si alikuaga na wanaume wengi sana why drama na konde boy?
halafu konde boy na yeye aache ushamba atulie na zezeru wa kizungu
Kwakweli Njomba Nchumali katudhalilisha wamakonde nilitegemea ntu kama yeye ndio angekuwa na kifua maana atake kwetu ntwara ukanda wa unyago na kufundwa..... bhaaaaa
 

Nina wasiwasi na Umakonde wa Harmonize.....na kama ni mmakonde basi hajapitia jandoni bado "mnemba"
 
Nakazia
 
Kwa list hii mnataka waolewe kweli? Waacheni wawe mabwawa ya kuogelea (swimming pool) Mimi hata siwaonei huruma kabisa. Halafu hawana hata kichefuchefu wanabadilishana mabwana kama kwenye mbio za vijiti ptuuuu
 
Jamaa kakosea sana hao aliowataja kawaingiza kwenye ugomvi usiowahusu maana wengine hawakupenda wajulikane kama walikwisha pita hapo.
Wanaume uwa hawajibizani na wanawake konde boy inabidi ajifunze kuwa mwanaume siyo daily kubishana na ex.
Hawa watakuwa bado wanapendana maana watu wakiachana maisha yanaendelea siyo daily unamchungulia yuko na nani na wataachana lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…