bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,699
- 4,117
Nadhani utoto bado unawasumbua....Hata ungekuwa umedhalilishwa vile na Wolper usingekaa kimya, alichokifanya Harmonize yupo sahihi sana. Dawa ya moto ni moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani utoto bado unawasumbua....Hata ungekuwa umedhalilishwa vile na Wolper usingekaa kimya, alichokifanya Harmonize yupo sahihi sana. Dawa ya moto ni moto
Kati ya wolper na huyo konde nani ni mvulana?Hata ungekuwa umedhalilishwa vile na Wolper usingekaa kimya, alichokifanya Harmonize yupo sahihi sana. Dawa ya moto ni moto
Moto unaounguza hata wasiohusika?? hivi kwa sasa unadhani hao wengine wanajisikiaje? bora tu angetaja idadi lkn co majinaHata ungekuwa umedhalilishwa vile na Wolper usingekaa kimya, alichokifanya Harmonize yupo sahihi sana. Dawa ya moto ni moto
Kosa kubwa hapo kafanya Wolper, amemdhalilisha sana Harmonize na SarahNadhani utoto bado unawasumbua....
Angetaja idadi isingeleta maana sana bora alivyowataja na majina kabisaMoto unaounguza hata wasiohusika?? hivi kwa sasa unadhani hao wengine wanajisikiaje? bora tu angetaja idadi lkn co majina
Supermodel ashawah kuwa na shamsa?auHarmonize naye hakutaka kumkalia kimya Shamsa Ford, akamtuliza kidogo View attachment 769611
BUDEGE Si Gari la TAKA?Ndio maana na papuchi pia imeoza, inatoa toa harufu kama budege
NdioBUDEGE Si Gari la TAKA?
Haaaa Du Mbona mmemchoka sana Fundi "Cherehani"?Ndio
Mbaya zaidi analelewa mwanamkeYule dogo wa wasafi sijui konde boy hana sifa kuwa mwanaume mwanaume kamili huwezi kushindana na mwanamke kukaa kimya ni jibu tosha kwa wolper na sara