Harmonize Anapoelekea Atamzidi Ubora DiamondPlatnumz

Narudia Tena diamond Ni taasisi sio tena msanii huwezi kumfananisha na kiba, harmonise,vanny au yeyote yule bongo.. Harmonise Ni msanii bado hawezi kushindana na taasisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nashangaa mkuu, hivi harmonize anaweza kutoa ngoma bila mond kupitisha? Au anaweza kupata colabo bila mond?
 
Huyu Diamond ambae hata asipotoa wimbo haishi kuzungumziwa kila kona ndio wa kumfananisha na Harmonize
 
Huo ujinga umechosha na kukinaisha. Sio kama zamani
Sasa kwenye maisha ya sasa ujinga ndo kitu kitakachochukua mda kukinaisha...

Wote tunajua saivi social networking wenye page za upuuzi ndo Wana followers kuliko ht baadhi ya wasanii...

Hii Ni zama ambayo hatakukemea ujinga unaonekana mshamba umeona wapi huko YouTube vitu vya maana vika trends??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamzungumzia huyo,mjama ambaye ndani ya Mwaka Huu Anakufa?

hHHHa u can't be serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio upande wa diamond.
 
harmonize yuko poa sana ila yule raymond wa nzovwe mbeya ajiangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…