Kuna kitu hamjajua kuhusu diamond.Diamond Ana mikakati mingi sana kuanzia uimbaji wake,collaboration zake, wanawake anaotembea nao,show zake yaani vitu vingi anavyofanya anafanya kwa sababu flani vingine Ni vya kipuuzi kabisa machoni pa watu lakini Mwisho wa siku vina faida kwake.
Harmonise anapita njia za diamond lakini bado ameshindwa kufika pale na hatafika etiii..
Ogopa sana mtu anayezungumziwa tumeona nguvu ya kuzungumziwa kwa Pierre likwidi.
Simba kila sehemu lazima umzungumzie kuanzia baba ake, watoto wake,ex zake,label yake,TV,radio,mama ake,mziki wake,scandal zake,wasanii wake,collabo zake,ujinga wake...saivi project mpya ya kijinga Ni kuhakikisha kuna vita kubwa ya maneno kwenye social network Kati ya uganda,tz na Kenya kuhusu mademu zake .....huu ujinga wote ndo unamfanya awe pale Sasa harmonise Ana ujinga gani???hivi mnajua kwanini tamthilia zipo so addictive??????
Sent using
Jamii Forums mobile app